CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

mbona unalikimbia hili swali.. zinajulikana na nani??

wewe mleta hoja tupe majibu.. tuambie simba inamiliki hiki na hiki vina value ya kiasi fulani na simba ina pesa bank kiasi fulani..

usikimbie swali
Utajiri wa simba now ni USD 10 sawa na bilioni 20 za kibongo plus assets zenye thamani ya bilioni 7
 
Uwanja si kigezo cha utajiri wa timu,

Maana hata arsenal ,emirates sio uwanja wao 100% ni wa shirika la emirates kwa mkataba hadi 2022
Acha uongo Arsenal wamemaliza deni 2014.
Emirates yupo kama Stadium Sponsor na Shirt sponsor, alilipa pesa kuendelea kuuza jina kupitia uwanja na jezi.
 
Shekhe hisa alizonunua mo dewji zinaukwasi huo,plus thamani ya assets za klabu bilioni 7

ha ha ha dewji kanunua hisa kalipa pesa lini.

ha ha ha account ya simba ipo bank gani yenye huo ukwasi.. wengine bankers humu wachungulie

na hizo asset hazina hata picha .. au nikusaidie picha za ghorofa kariakoo na bus la simba, na uwanja bunju ha ha ha
 
Kweli uko nyuma sana ya wakati.

Inamaana hujui kuwa now simba imeuza sehemu ya umiliki wake kwa mo dewji kwa thamani ya bilioni 20? Huko uliko hausomagi au haupatagi taarifa za michezo za toka mwaka 2015 ?? Ebu jaribu kufuatilia aisee utakuta na mavideo yamewekwa huko Sikh alipothibitihsa kua amedeposit kwenye bank ya equity bilioni 20 cash.
 
bado hawajalipwa pesa.. wamepanga kuuza ila bado.. hawajauza.. mimi sio mwanasimba ila nalijua hili
 
bado hawajalipwa pesa.. wamepanga kuuza ila bado.. hawajauza.. mimi sio mwanasimba ila nalijua hili
Tayari aisee,ile kamati ya kina jaji mihayo moja ya masharti waliyokuwa nayo ili kumpata mwekezaji ni kujirudhishaa hzo pesa zipo,yani zimetengwa kabisa kwenye acc maalumu,kitu ambacho ndugu mo alikifanya,ndio akakabidhiwa .

Na kudhihirisha kuwa mambo tayari,ndio maana now kuna kampuni na ina wakurugenzi wake na inafanya kazi.na miongoni mwa hao wakurugenzi 8 wamechaguliwa na mo ili kulinda maslahi yake kwenye kampuni ya simba
 
Back
Top Bottom