CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

Utajiri wa simba ni USD 10, unazijua hizo ni shilingi ngapi za kitanzania?, we we sio non sense Bali senseless. 10 USD ni utajili au umasikini?. Usijibu usichokijua. Utajili ni uwekezaji na sio ulipaji mshahara. Mshahara inaweza kulipwa na wanachama, mfadhili au mapato ya mlangoni, hicho sio kipimo cha utajili wa club. Rudi shule, saivi Elimu bila ada
Non sense kwa sasa,kikubwa usajili mzuri na kulipa vizuri,utajiri was simba now ni karibu USD 10 na zaidi
 
At least kuna watu kama wewe wasiotaka sifa za kijinga.
Ndiyo kwanza kampuni imesajiliwa. So far tunajua hela inatoka mfukoni mwa Mo.
Kupata utajiri huo, club inaingiza kiasi gani na inatumia kiasi gani? Kuna hata audited report moja tu?
 
Shekhe nadhani utakuwa ulinielewa kuwa nilimaanisha USD milioni 10 over,kuhusu uwekezaji ndio kwanza simba wameingia kwenye joho hili jipya,so be patient utaona uwekezjai,swalj lako litakuwa na maana miaka 5 mbele,

Ila kwa sasa bado,kaa utulie utazame ,ukweli simba now ndio klabu tajiri Tanzania,Africa mashariki na ni ya tank kwa utajiri Africa.
 
At least kuna watu kama wewe wasiotaka sifa za kijinga.
Ndiyo kwanza kampuni imesajiliwa. So far tunajua hela inatoka mfukoni mwa Mo.
Kupata utajiri huo, club inaingiza kiasi gani na inatumia kiasi gani? Kuna hata audited report moja tu?
Mapato na matumiz ya simba kwa msimu uliopita ni bilioni 6.

Then hivi shekhe Leo hii ukishibda bahatinasibu ya bilioni 1,bado utajihesabia masikini tu eti kwa kuwa hajuzitolea jasho kuzipata?
 
Sawa mkuu povu lako tumelisikia...ila na list ya timu maskini africa itajwe tu ili angalau ombaomba fc aka vyuraaa watokelezeamo watuwakilishe
 
Cash sio utajili, hizo bilioni zitapigwa zitaisha. Waambieni viongozi, wafanye uwezezai wa maana ili Simba ijiendeshe kibiashara maana hizo za No zikio zikiisha alaf utaanza mtifuano kudai timu irudi kwa mashabikkatika uchumi wa viwabda, wanaweza kuwekeza katika vifaa vya michezo,
 
Mtoa post umbwa
 
Mapato na matumiz ya simba kwa msimu uliopita ni bilioni 6.

Then hivi shekhe Leo hii ukishibda bahatinasibu ya bilioni 1,bado utajihesabia masikini tu eti kwa kuwa hajuzitolea jasho kuzipata?
Sheikh, utajiri ni assets. Ziko wapi assets za dhamani hiyo? Assets iwe fedha za club au mali nyingine.
Matumizi yaweza kuwa hayo sawa, lakini zinatoka wapi? Kwenye mapato ya club au mfukoni mwa Mo?
 
Uwekezaji umeanza kwa kusajili,ukisahili wachezaji wazuri utapata matokeo ,matokeo yatawavuta watu kuipenda timu na kuwa maarufu zaidi,ikiwa maarufu zaid makampuni ya ndani na Nnje yatakuja kutaka kudhamini.

Yatakapokuja unakuwa unaparkeji za bei,yani kwa kifupi hayo makampuni Simba ndio itawapangia bei ,

Timu ikiwa na matokeo in rahisi kushinda vikombe vikubwa vyenye thamani ya pesa nyingi.

Lakini pia mashabiki hawatachoka kuisapoti timu uwanjani kwa kulipa viingilio bila kusahau kununua jezi na bidhaa za klabu.

Pesa inayopatikana ....
 
Sheikh, utajiri ni assets. Ziko wapi assets za dhamani hiyo? Assets iwe fedha za club au mali nyingine.
Matumizi yaweza kuwa hayo sawa, lakini zinatoka wapi? Kwenye mapato ya club au mfukoni mwa Mo?
Sportpesa wanatoa bilioni 1,viingilio vya mlangoni,azam TV rights ,pesa za ubingwa,mikopo nafuu.

Nimejaribu kukuwekea vinavyoweza kuwa vyanzo,pia majengo mawili pale msimbazi yanayoingiza kodi kila mwezi
 
Sawa mkuu povu lako tumelisikia...ila na list ya timu maskini africa itajwe tu ili angalau ombaomba fc aka vyuraaa watokelezeamo watuwakilishe
Ukweli mgumu kuukubali. Bado hatujawa biashara ya kuingiza pesa kwenye club zetu. Wala sio aibu. Hata kwa TP Mazembe, hela ni mmiliki Katumbi.
Acha gharama nyingine, unadhani gate collection zinaweza kulipa hata robo ya mishahara? Club zetu zina source ya hela zaidi ya gate collection?
 
Sportpesa wanatoa bilioni 1,viingilio vya mlangoni,azam TV rights ,pesa za ubingwa,mikopo nafuu.

Nimejaribu kukuwekea vinavyoweza kuwa vyanzo,pia majengo mawili pale msimbazi yanayoingiza kodi kila mwezi
At least hizo za SportPesa. The rest ni peanuts.
 
Timu haina uwanja ,haijiendeshi yenyewe inasubil mkono wa wahisani ije kuwa top 5 mmmh wabongo kujitutumua hatujambo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu haina uwanja ,haijiendeshi yenyewe inasubil mkono wa wahisani ije kuwa top 5 mmmh wabongo kujitutumua hatujambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea,Bayern Munich,inter Milan,ac Milan,arsenal zote hizo hazimiliki viwanja vyao.na bado ni timu tajiri duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…