Hata hivyo timu nayo tuliyonayo ni ya mchongoHuyu jamaa aliwezaje kuwa kocha wa Taifa Stars?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo timu nayo tuliyonayo ni ya mchongoHuyu jamaa aliwezaje kuwa kocha wa Taifa Stars?
Kama ile juzi kulikuwa jamaa moja mwarabu koko fulani hivi lilikuwa linajizunguusha tu uwanjani hadi wenyewe wakaamua wamtoe,aibu tupu.Hata hivyo timu nayo tuliyonayo ni ya mchongo
Haji anachezea daraja la 5 Ben starke anachezea daraja la 7.Yeye na TFF wamejaza wachezaji wa ligi daraja tatu ulaya ili mradi timu ionekane ina wachezaji kutoka ulaya halafu anaanza kulaumu wengine,nchi hii siasa zinaharibu kila sekta.
Alisema kabla ya mechi..Ilikuwaje kocha akatoa kauli kama hiyo anamaanisha Morocco walitumia fitna kutufunga ama?
Mpira anao piga Haji hauoni?Haji anachezea daraja la 5 Ben starke anachezea daraja la 7.
Hata sijui alitumia kigezo gani kuwaita .
Tunafanyaje? Tumtimue.Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemfungia mechi nane Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche kwasababu ya shutuma zake alizozitoa dhidi ya Morocco
Adhabu hiyo ulitolewa jana na Kamati ya Nidhamu ya CAF baada ya malalamiko yaliyowasilishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco (RMFF) ikimlalamikia Kocha huyo kwa kauli zake kuwa Morocco inaushawishi ndani ya CAF katika kupanga mechi pamoja na waamuzi.
Katika hatua nyingine, Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemsimamisha Kocha Adel Amrouche
Kutokana na uamuzi huo na imemteua Hemed Morocco kuwa Kaimu Kocha Mkuu akisaidiwa na Juma Mgunda.
View attachment 2876717
Wangetoka kwenda kufundisha ligi za wenzetu huko ndio tunge wahamini,wote wako ligi ya ndani uko nje hawawezi,hapa kwetu hakuna changa moto,ukimpa timu huyo hakuna maajabuKwa tulioangalia mechi kocha alikuwa sahihi, hao makocha wa ndani Wana mafanikio gani
Mkuu Tff wanakosa gani ? Chama cha mpira ni msimamizi wa mchezo wa mpira , jukumu la kutengeneza wachezaji ni jukumu la vilabu vya mpira, ukiangalia wachezaji wetu ni sawa na Kuku wa kienyeji hawajui kesho yao watakula nini na chakula watakipata wapi, tofauti na kuku wanaofugwa kitaalamu. Mchezaji anacheza Simba lakini haijulikani tokea utoto wake kakelewa Academy ipi.Alisema ameenda kujifunza kwahiyo tayari ameshajifunza.
Mpaka Tff waje watu wenye malengo bila hivyo Tanzania itabaki kichwa cha mwendawazimu Kama alivyosema Mzee Mwinyi.
CCM waache kufanya siasa kwenye michezo kama kweli wanataka mafanikio wawekeze kwenye michezo maana viwanja wanavyo kwanini wasianzishe Academy zao kwasababu viwanja wanavyo, kazi yao kukusanya na kuchangishana pesa na kugawana, ukiangalia nchi mfano Senegal, Nigeria kwenye mechi zao unawaona waki Mama na vijana wakishangilia timu zao wakiwa wamevalia sare, siyo sisi Raisi anatoa tiketi za bure kwenda kuishangilia Taifa star ukiangalia uwanja washangiliaji hawapo.Tatizo ninaloona ni Taifa Stars kuingiliwa mno na wanasiasa. Kwa mfano siwezi kuelewa kabisa kulikuwa na sababu gani ya Waziri kuwachosha wachezaji masaa mawili kwa nasaha zake..!!!... wachezaji wanatakiwa kula, kufanya mazoezi na kupumzika kwa wakati. Hayo masaa mawili yalikuwa kwenye ratiba ya wachezaji?? Ile kamati ya hamasa ilikuwa ya kazi gani? Wangesema wanalipia mashabiki kindakindaki kwenda kushangilia ningeweza kuelewa. Mtu kama Seven Mosha atamhamasisha nani kwenye football? Siku nyingine tuilinde sana STARS dhidi ya wanasiasa.