CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania vyema.

Sijui ni kwanini kila ambacho GENTAMYCINE nakipenda ( nakikubali ) huwa ni Kizuri, kina Mafanikio na hata Mola ( Maulana ) nae huwa 'anakibariki' kila Uchao.

Kuna Timu moja huenda Siku CAF wakitaja Vilabu 10 Bora ambavyo vinakaa 'Madimbwini' na kucheza na Chura Kutwa yenyewe ikaongoza na Kushika nafasi ya Kwanza ( 1 )

Waandishi wa Habari za Michezo nchini Tanzania pamoja na Wasafi FM Radio tafadhali msichoke Kuendelea 'Kuichukia' Simba SC na Kuiombea 'mabaya' kwani kwa Kufanya hivyo huwa mnaiongezea 'Baraka' Simba SC huku 'mkiilaani' tu Timu yenu ya Jangwani Mafuriko Wivu Malalamiko Njaa Daima SC a.k.a Utopolo SC.
 
CAF wanaihujumu Utopolo ina maana miaka yote hawajawahi kufika hata makundi wawe na point.

Inabidi utopolo waende kushitakia TFF na FIFA huu ni udhalilishaji san, haiwezekani wanajiita mabingwa wa kihistoria wakati CAF haiwajui huo ubingwa walipatiwa na nani ?
 
Naomba niulize hizo rank Zina faida gani kwa Club, Kwa Wachezaji na kwa Taifa?
 
Ubingwa wa kukaa mabondeni na kuvua vyura [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Yanga wao wanasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…