GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania vyema.
Sijui ni kwanini kila ambacho GENTAMYCINE nakipenda ( nakikubali ) huwa ni Kizuri, kina Mafanikio na hata Mola ( Maulana ) nae huwa 'anakibariki' kila Uchao.
Kuna Timu moja huenda Siku CAF wakitaja Vilabu 10 Bora ambavyo vinakaa 'Madimbwini' na kucheza na Chura Kutwa yenyewe ikaongoza na Kushika nafasi ya Kwanza ( 1 )
Waandishi wa Habari za Michezo nchini Tanzania pamoja na Wasafi FM Radio tafadhali msichoke Kuendelea 'Kuichukia' Simba SC na Kuiombea 'mabaya' kwani kwa Kufanya hivyo huwa mnaiongezea 'Baraka' Simba SC huku 'mkiilaani' tu Timu yenu ya Jangwani Mafuriko Wivu Malalamiko Njaa Daima SC a.k.a Utopolo SC.