GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Halafu bado mnanisoma Kutwa hapa JF.
Zungumzia kwa klabu, maana ni ranking ya klabu (Simba). Rank zinaongeza thamani ya brand ya timu. Leo hii mchezaji wa Ghana akiwa anatakiwa na klabu mbili, Simba na AS Vita, atafikiria kwanza kuichagua Simba kabla ya Vita, labda nguvu nyingine zaidi itumike. Ni kwamba timu iliyo katika ranking za juu kuna uwezekano mkubwa wa kutumia nguvu ndogo katika ushawishi, iwe kwa wachezaji, makocha au wawekezaji na wadhamini. Wadhamini huwa hawapendi kutupa fedha zao bure bure. Wanapenda kuziweka kwenye bidhaa inayofuatiliwa na watu wengi zaidi kuliko pale inapofuatiliwa na watu wachache. Usishangae kuona Simba inagombaniwa na wadhamini, wakati Yanga inatafuta wadhamini!Naomba niulize hizo rank Zina faida gani kwa Club, Kwa Wachezaji na kwa Taifa?
Then you must be an authentic Dimwit..Hua sisomi id
Nasoma yaliyoandikwa
Tunafungua tread kwa topiq sio aliepost
Wtf
Covid haijawasaidia utopolo kumzuia Prince Dube..?Shukuruni sana kovidi nyie mbux3
Hilo ni swali kutoka kwa mabingwa wa kihistoria Tanzania, ukitaka kuwafahamu kawaulizie kwenye jumba la makumbusho na uwanja wa karume!Naomba niulize hizo rank Zina faida gani kwa Club, Kwa Wachezaji na kwa Taifa?
Inayitambulka na. Caf yanga ya 58 namungo 96Ranking ya Yanga kwa Afrika na Tanzania hii:
Young Africans
TanzaniaWorld Ranking: Africa Ranking: 376 Tanzania Ranking: 2
Kwa hiyo hata kwenye ligi ya Bara, Yanga na wengine wanaumwa korona πππShukuruni sana kovidi nyie mbux3
Leta ya CAF, achana na hizo zisizofanyiwa updateRanking ya Yanga kwa Afrika na Tanzania hii:
Young Africans
TanzaniaWorld Ranking: Africa Ranking: 376 Tanzania Ranking: 2
Haka kamsemo kamekaa kimalaya malaya hivi,kanatumiwa na vitoto vya huko FB.Kwani Yanga wao wanasemaje
Kwani kamsemo kwenyewe kanasemajeHaka kamsemo kamekaa kimalaya malaya hivi,kanatumiwa na vitoto vya huko FB.
Kanasema wewe KaseseraKwani kamsemo kwenyewe kanasemaje