CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

Sisi ambao hatupo hapo na hili nalo litapita
 
Naomba niulize hizo rank Zina faida gani kwa Club, Kwa Wachezaji na kwa Taifa?
Zungumzia kwa klabu, maana ni ranking ya klabu (Simba). Rank zinaongeza thamani ya brand ya timu. Leo hii mchezaji wa Ghana akiwa anatakiwa na klabu mbili, Simba na AS Vita, atafikiria kwanza kuichagua Simba kabla ya Vita, labda nguvu nyingine zaidi itumike. Ni kwamba timu iliyo katika ranking za juu kuna uwezekano mkubwa wa kutumia nguvu ndogo katika ushawishi, iwe kwa wachezaji, makocha au wawekezaji na wadhamini. Wadhamini huwa hawapendi kutupa fedha zao bure bure. Wanapenda kuziweka kwenye bidhaa inayofuatiliwa na watu wengi zaidi kuliko pale inapofuatiliwa na watu wachache. Usishangae kuona Simba inagombaniwa na wadhamini, wakati Yanga inatafuta wadhamini!
 
Naomba niulize hizo rank Zina faida gani kwa Club, Kwa Wachezaji na kwa Taifa?
Hilo ni swali kutoka kwa mabingwa wa kihistoria Tanzania, ukitaka kuwafahamu kawaulizie kwenye jumba la makumbusho na uwanja wa karume!
 
Utopolo mabingwa wa kihistoria wanasema mu-google muone ranking ya caf kwa clubs mwaka 1947 !!!
 
Kwa taarifa yako man u na arsenal wapo rank za juu uefa licha ya kutocheza champions league
 
Hiyo orodha ni ya wapuuzi nimeona timu ndogo za Zambia na Zimbabwe hata kombe la shirikisho hazishiriki zipo juu ya yanga video lazima viwe wazi
 
Back
Top Bottom