Mkuu nimeona wamejikusanya hadi kwenye makundi ya wasap na FB huko wanadanganyana. Abarikiwe mzee Rage kwa kuona mbaliNimeamin kweli Rage alivyo waita mbumbumbu hakukosea, wewe unamwamin uyo mbumbumbu mwenzako kwamba Caf wana chanzo cha siri ambacho yeye binafsi anapewa taarifa?!!!
Hizo taarifa za vilabu barani afrika zilizopo Google ni official kutoka Caf na uwa zinawekwa public pamoja na vigezo wanavyotumia. Uyo Mbumbumbu aliye leta uzi hana chanzo chochote official kutoka Caf kwa data alizoweka nia ni ku ulaghai umma sijajua kwa manufaa ya nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu okwibobanisunzu Leo nimempunguzia nyota mana sikutarajia kama angekuja kuwapiga kamba kizembe hivi na nyie misukule wenzake mnafata tuHawa UTOPOLo ghalib amewafanya wawe MATAHIRA Mkuu OKWI BOBAN SUNZU ameleta rank akasema chanzo alichochukua hiyo taarifa ni shirikisho la Kandanda Africa (CAF) ila Vyura wachache wanatuletea data za vichochoroni.
Najua wewe ni mbumbumbu ila hebu acha kuwa taahiraOrlando sasa nayo ni timu kwa miaka ya hivi karibuni?
Timu inayomaliza ligi nafasi ya saba au nane [emoji28]
We jidanganye tu.Ligi mtaisikia tu hadi 2025
pamoja na mabilioni yote ya Mo?
🤣🤣🤣 Yaani hawajataka hata kujiongeza kwa kugoogle wapate ukweli.Huyu okwibobanisunzu Leo nimempunguzia nyota mana sikutarajia kama angekuja kuwapiga kamba kizembe hivi na nyie misukule wenzake mnafata tu
Ndo nakwambia hivyo, nyie endeleeni kuwekeza nguvu kubwa ili mtufunge hamna kingine cha ziada.We jidanganye tu.
Nitajie mafanikio ya Orlando pirates kwa miaka 15 iliyopita utopoloNajua wewe ni mbumbumbu ila hebu acha kuwa taahira
Kwamba Simba inalipa vizuri kuliko Mazembe? Hiki si ni kichekesho!Pesa na motisha anazozipata Simba kwa muda mfupi asingezipata Mazembe.
Mazembe ina ma-striker wa daraja la dunia, Eliud Ambokile na Singano wameenda Mazembe wanafanya nini?
Hizi akili za HAJI MANARA huwa mnatembea nazo nyie mikia Fc wote??
Watu tuko kwenye Covid 19 we unatuletea mambo ya Simba?
Sema huwa nakukubali sana kwenye mambo za siasa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Doooh once you are mbumbumbu you are just a mbumbumbu! Hatari sana hiki kikundi ha ha ha🤣🤣🤣 Yaani hawajataka hata kujiongeza kwa kugoogle wapate ukweli.
Ni kichekesho kwa mtu ambaye halijui soka!Kwamba Simba inalipa vizuri kuliko Mazembe? Hiki si ni kichekesho!
Kukaa kwake benchi Simba ni kwa maslahi yake binafsi, analipwa hela ndefu na ana uhakika wakuendelea kusalia klabuni hata kwa misimu mitatu mbele.Kwani Ajib aliyeenda Simba anafanya nini zaidi ya kukaa benchi?
Walimtaka ili waende kumtumia maana waliona talent ndani yake swali angeenda kukutana na wachezaji wa aina gani na ingemchukua muda gani kuwa one of the best kwenye squad ya Mazembe?Kama wana-strikers wa dunia walimfuata yeye wa nini?
BTW:Baada ya misimu miwili uelekeo wa Ambokile na Ajib ndiyo utatoa majibu.
Mi sijui mafanikio yao hayo yatafute wewe mbumbumbu ila nachojua jamaa ni Wa 17 hivi kama sijakosea sana. Wewe hata kwenye mia 200 bora hupoNitajie mafanikio ya Orlando pirates kwa miaka 15 iliyopita utopolo
Unabahatisha?Mi sijui mafanikio yao hayo yatafute wewe mbumbumbu ila nachojua jamaa ni Wa 17 hivi kama sijakosea sana. Wewe hata kwenye mia 200 bora hupo
Ni kichekesho kwa mtu ambaye halijui soka!
Wachezaji hawalipwi kwa usawa, wanalipwa kulingana na ukubwa wao, Ajib akienda Mazembe ni mchezaji wa daraja la chini ambaye itambidi apambane ili afikie viwango vya Mazembe atalipwa pesa ya kawaida sana.
Hahaha aisee hii Comment nimecheka sana huwezi amini ulichokisema hapo ndicho nilichokuwa nafanya.Naona ni zamu yenu sasa kupita kimya kimya. 😎
Cc. Troisième Ceil na Penison
Huu sio uzi wa likes. 🤣🤣 💃💃
Huyo mchezaji wa daraja la chini Mazembe anaweza kuwa analipwa zaidi ya kile anacholipwa Ajib akiwa Simba tena kwa uhakika tofauti na SSC ambayo timu ikipata matokeo mabaya tu Mo anatishia kujitoa.
Isitoshe kwa mchezaji anayeangalia future ya career yake ku-opt SSC kwa Mazembe ni uwendawazimu tu hata kama angecheza bure.
Ajib angetoa sababu yoyote lakini ya maslahi wala hai-make sense, Mazembe haiwezi kushindwa kumpa kile SSC inampa kama walihitaji huduma yake.
Ni kuogopa changamoto mpya,kubweteka labda na umri umemfanya aone yupo omega anasubiri kustaafu tu.
Kweli aisee naona hili swala ulilikazania kweli ukaweka na link nikaona siyo vibaya nikajionee mwenyewe, kilichofuata ni gwaride la kimya kimya.Hahahahaaaa. Nilijua tu mana sio kawaida yako.
Umeamua kunipa Kuku. lol 😂😂