kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Yaani Manara atakuwa kakaa mafichoni huko akagundua kuwa mifugo yangu inahitaji Pumba, akaipa mifugo yake pumba na mifugo yake ikaleta hapa pumba kwa kuamini na sisi tunakula pumba. Pumbavu mbumbumbu!!
Nakuhakikishia currently mbumbumbu FC haipo hata kwenye 50 bora. Sijui kama Hata kwenye 100 mpo. Ndugu yangu kweli mzee Rage anaona mbali sana!
Nakuhakikishia currently mbumbumbu FC haipo hata kwenye 50 bora. Sijui kama Hata kwenye 100 mpo. Ndugu yangu kweli mzee Rage anaona mbali sana!