Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Duh umemvua nguo huyo mbumbumbu aiseeAfrica Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase
Muonage aibu jamaani. Lol.
Aliyeiona Simba hapo aniambie iko namba ngapi?
Hahahahaaa. Pole Mtani kwa kuingizwa Chaka.Kweli aisee naona hili swala ulilikazania kweli ukaweka na link nikaona siyo vibaya nikajionee mwenyewe, kilichofuata ni gwaride la kimya kimya.
Yap nimekupa Kuku utie rubo.
Ila huwa namsifu sana Mleta uzi huwa akishayakoroga yaani tutaongea mpaka koo zikauke hatokei ng'oo.Kweli aisee naona hili swala ulilikazania kweli ukaweka na link nikaona siyo vibaya nikajionee mwenyewe, kilichofuata ni gwaride la kimya kimya.
Yap nimekupa Kuku utie rubo.
Sibahatishi ndivyo ilivyo Mimi nasema Orlando Pirates wako nafasi ya 17. Haya leta yako sasa we mbumbumbuUnabahatisha?
Sibahatishi ndivyo ilivyo Mimi nasema Orlando Pirates wako nafasi ya 17. Haya leta yako sasa we mbumbumbuUnabahatisha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila huwa namsifu sana Mleta uzi huwa akishayakoroga yaani tutaongea mpaka koo zikauke hatokei ng'oo.
OKW BOBAN SUNZU nakusalimia tu. π€£
Halafu wewe utaleta mshahara na marupurupu ya Ajib? Maana nitakuwa napoteza calories bure kuleta za Mazembe wakati najua kuzipata za Ajib ni mpaka kiama.Hebu lete ranking ya malipo ya wachezaji wa TP Mazembe isiwe wengine wanaenda tu kutokana na historia kubwa ya timu.huo ubishi wako bila hauna maana bila kuonyesha msimamo wa mishahara wa wachezaji wa TP Mazembe
Sent using Jamii Forums mobile app
ππ Swahiba tunamfanyia hivi ili siku ingine ajiridhishe kwanza.
Halafu wewe utaleta mshahara na marupurupu ya Ajib? Maana nitakuwa napoteza calories bure kuleta za Mazembe wakati najua kuzipata za Ajib ni mpaka kiama.
BTW:Unafikiri hiyo historia kubwa inayowavutia Mazembe ilikuja tu kama Corona?
Mpira ni pesa na Moise Katumbi kaweka pesa pale.
Weka basi hapa tuone.Mishahara ya wachezaji wa simba inajulikana na walishawahi kuweka wazi viwango vyote vya mishahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mademu, pombe na usupastaa uchwaraBado sijapata jibu juu ya maslahi yaliyomfanya Ajib ashindwane na Mazembe ila anayapata Simba!
Umemaliza kila kitu.
Mnashindwa kuelewa kitu kidogo. Ni hivi simba kabla ya kufungwa na UD Songo takwimu zilikuwa zinasoma hivi msemavyo. Baada tu ya kutolewa kwenye hatua ya kwanza kabisa mkatokomea kusikojulikana huko! Kwa hyo hao kina Horoya unapaswa ufuatilie kujua mashindano ya sasa wapo au waliishia wapiHiyo website gani kwahiyo kina Horoya ni 200+ kwenye msimamo africa?oneni aibu basi vyura
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Horoya wako 2019/20 season katolewa mwanzoni kabisa huko kama Yale yenu na kina Songo unataka aendelee kuwekwa juu?Hiyo website gani kwahiyo kina Horoya ni 200+ kwenye msimamo africa?oneni aibu basi vyura
Sent using Jamii Forums mobile app
Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase
Muonage aibu jamaani. Lol.
Aliyeiona Simba hapo aniambie iko namba ngapi?
Nimeenda Mkuu huyu jamaa kajua kuwaingiza Chakka mikia.
Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase
π πππππMbona Vyura hapo hatuwaoni?