CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

Kweli aisee naona hili swala ulilikazania kweli ukaweka na link nikaona siyo vibaya nikajionee mwenyewe, kilichofuata ni gwaride la kimya kimya.
Yap nimekupa Kuku utie rubo.
Ila huwa namsifu sana Mleta uzi huwa akishayakoroga yaani tutaongea mpaka koo zikauke hatokei ng'oo.

OKW BOBAN SUNZU nakusalimia tu. 🤣
 
Hebu lete ranking ya malipo ya wachezaji wa TP Mazembe isiwe wengine wanaenda tu kutokana na historia kubwa ya timu.huo ubishi wako bila hauna maana bila kuonyesha msimamo wa mishahara wa wachezaji wa TP Mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wewe utaleta mshahara na marupurupu ya Ajib? Maana nitakuwa napoteza calories bure kuleta za Mazembe wakati najua kuzipata za Ajib ni mpaka kiama.

BTW:Unafikiri hiyo historia kubwa inayowavutia Mazembe ilikuja tu kama Corona?

Mpira ni pesa na Moise Katumbi kaweka pesa pale.
 
Mishahara ya wachezaji wa simba inajulikana na walishawahi kuweka wazi viwango vyote vya mishahara

Hawa CAF waache unafiki, viwango hv ni kwa ligi hiz zilizofungwa na Hii Corona..!!!
 
Mishahara ya wachezaji wa simba inajulikana na walishawahi kuweka wazi viwango vyote vya mishahara

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka basi hapa tuone.

Mpaka Jan 2020 Trevor Mputu Mabi wa TP Mazembe ndiye highly paid player bara zima la Africa akikunja $10,000 kwa week ambayo roughly ni 92.4M kwa mwezi pesa za madafu.

Mo analipa 350M kwa mwezi mshahara wa wachezaji 28 pamoja na bench la ufundi.
 
Hiyo website gani kwahiyo kina Horoya ni 200+ kwenye msimamo africa?oneni aibu basi vyura

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnashindwa kuelewa kitu kidogo. Ni hivi simba kabla ya kufungwa na UD Songo takwimu zilikuwa zinasoma hivi msemavyo. Baada tu ya kutolewa kwenye hatua ya kwanza kabisa mkatokomea kusikojulikana huko! Kwa hyo hao kina Horoya unapaswa ufuatilie kujua mashindano ya sasa wapo au waliishia wapi
 
Back
Top Bottom