Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Mar 29, 2021 #21 Twamo said: Siku za mwizi ni Arobaini! Bado kidogo tu ujanja ujanja wenu utajulikana hata kama katika hili mmepona! Click to expand... Ujanja upi tena jamani?
Twamo said: Siku za mwizi ni Arobaini! Bado kidogo tu ujanja ujanja wenu utajulikana hata kama katika hili mmepona! Click to expand... Ujanja upi tena jamani?
gachacha JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 2,584 Reaction score 3,977 Mar 29, 2021 #22 koboG said: Yani sisi utopolo inabid tukubali simba ni bora uwanjani haya malalamiko hayawezi kusaidia sarpong kuanza kufunga Click to expand... 🐸🐸🐸🐸 itabidi tu mkubali simba mwaka huu wako bora, koo uzeni sarpong mnunue mwingine msimu ukiisha
koboG said: Yani sisi utopolo inabid tukubali simba ni bora uwanjani haya malalamiko hayawezi kusaidia sarpong kuanza kufunga Click to expand... 🐸🐸🐸🐸 itabidi tu mkubali simba mwaka huu wako bora, koo uzeni sarpong mnunue mwingine msimu ukiisha
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Mar 29, 2021 #23 njaakalihatari said: NI wakati sahihi wa authorities za nchi kuwauliza yale makaratasi yasiyo na signature za verifier waliyapata wapi? Click to expand... Watakuwa wamepewa na utopolo
njaakalihatari said: NI wakati sahihi wa authorities za nchi kuwauliza yale makaratasi yasiyo na signature za verifier waliyapata wapi? Click to expand... Watakuwa wamepewa na utopolo
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,671 Mar 29, 2021 #24 rodrick alexander said: Watakuwa wamepewa na utopolo Click to expand... nitashanga akama simba na wizara ya afya hawatachukulia hili suala serious ni forgery inabidi wawe setious watakuwa wanakuja teams hapa wanafungwa wanafoji makaratasi hadi CAf wataichoka simba sasa
rodrick alexander said: Watakuwa wamepewa na utopolo Click to expand... nitashanga akama simba na wizara ya afya hawatachukulia hili suala serious ni forgery inabidi wawe setious watakuwa wanakuja teams hapa wanafungwa wanafoji makaratasi hadi CAf wataichoka simba sasa