CAF yatupilia mbali madai ya Al Merrick dhidi ya Simba

CAF yatupilia mbali madai ya Al Merrick dhidi ya Simba

Siku za mwizi ni Arobaini! Bado kidogo tu ujanja ujanja wenu utajulikana hata kama katika hili mmepona!
Ujanja upi tena jamani?

1617029348538.png
 
Yani sisi utopolo inabid tukubali simba ni bora uwanjani haya malalamiko hayawezi kusaidia sarpong kuanza kufunga
🐸🐸🐸🐸 itabidi tu mkubali simba mwaka huu wako bora, koo uzeni sarpong mnunue mwingine msimu ukiisha
 
Back
Top Bottom