CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba

CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba

Nawasiwasi na jinsia yako mzee,Kamdomo unako sana ,alafu kitu kidogo tuu unakimbilia kusema mashindano ya kina mama while wewe ulikua huko fainal.Je ulikua mmama?
Muulize Kaduguda Kiongozi pale Simba ndo alisema shirikisho ni mashindano ya akina mama
Sasa ndo mpo Shirikisho, sisi tukayaita mashindano ya akina mama mnatoka na mapanga
 
Hapo mmefuraahi wenyewe wazee wa ganda la ndizi.

Ila kwa jinsi mambo yalivyo katika kundi lenu mkishindwa kuvuka mtashangaza sana, kundi limejaza vibonde watupu nyie wenyewe mna afadhali.
Ata kundi la yanga kuna vibonde wawili wale wa nafasi mbili za mwisho.
 
Muulize Kaduguda Kiongozi pale Simba ndo alisema shirikisho ni mashindano ya akina mama
Sasa ndo mpo Shirikisho, sisi tukayaita mashindano ya akina mama mnatoka na mapanga
Kaduguda akijitia dole na wewe utajitia dole?
 
Hapo mmefuraahi wenyewe wazee wa ganda la ndizi.

Ila kwa jinsi mambo yalivyo katika kundi lenu mkishindwa kuvuka mtashangaza sana, kundi limejaza vibonde watupu nyie wenyewe mna afadhali.
Hata kundi lenu ni vibonde watupu lakini mmeshindwa kupata ushindi angalau mechi moja tu.
 
Baaas wamekwishaaa! Robo fainali, komasava!

Ila chanzo cha hii taarifa kiko wapi?
 
Kwahiyo zile adhabu za hapa kwetu ni batili na walikurupuka?
Hizo adhabu nyingine zilikuwa za hawa wachambuzi wetu uchwara. Ila serikali iliitoza Simba kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokodi uwanja kwa serikali.

Kwamba ilikuwa ikiwajobika kuuacha kama ilivyoukuta hata kama siye yeye aliyehusika kuuharibu uwanja. Lakini, na Waziri kutokuwa mtu wa mpira ilivuruga pia.

Taarifa yake ilipoteza uhalisia wa tatizo. Lakini, taarifa ya polisi iliweka wazi, mashabiki wa Simba walikuwa wanarudishia kwa viti walivyotupiwa na waarabu.

Ova
 
Kwenye Kundi lenu mlisema nyie mtapita kibabe kwa kuongoza kundi,.....

ila mpaka sasa tunavyoongea Mashabiki wa Yanga hapa vijiweni ukiwagusia habari za Klabu bingwa(Cafcl) wanainuka wanaondoka.
Nafasi tulikuwa nayo, uongozi umetuangusha kwa kufanya mabadiliko ya kocha kimihemuko.
Binafsi sina matumaini ya kusonga mbele, nimeshakubali.
 
Lini simba amewahi kushindwa kuvuka hatua ya makundi?

Kundi linakuwaje na vibonde wakati timu 3 zina alama 6?

Mpira unaangalia kweli au unasikiliza kwenye redio? Unaelewa hata ulichokiandika au umepagawa?
Mwenzio hapo nilikuwa natania, sio kila kitu unashupaza shingo Mkuu.
Chill
 
Inaumiza sana.

Binafsi pia sikutarajia kama Yanga wangefanya maamuzi ya kijinga namna hii. Kumfukuza kocha wakati una mashindano magumu mbele,walipaswa kusubiri kipindi hiki mechi ziliposimama,

Bado mapema kuikatia Yanga Tamaa
 
Kumkosa Kocha mzoefu katika benchi la ufundi kwenye mashindano haya pekee basi ni tiketi ya kuishia makundi, haijalishi una kikosi bora kiasi gani.

Kwa hili, sitokaa nimsamehe Hersi. Nimeumizwa sana.
 
Kumkosa Kocha mzoefu katika benchi la ufundi kwenye mashindano haya pekee basi ni tiketi ya kuishia makundi, haijalishi una kikosi bora kiasi gani.

Kwa hili, sitokaa nimsamehe Hersi. Nimeumizwa sana.
Nakubaliana na wewe.
 
Back
Top Bottom