CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba

Hizo adhabu nyingine zilikuwa za hawa wachambuzi wetu uchwara. Ila serikali iliitoza Simba kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokodi uwanja kwa serikali.

Kwamba ilikuwa ikiwajobika kuuacha kama ilivyoukuta hata kama siye yeye aliyehusika kuuharibu uwanja. Lakini, na Waziri kutokuwa mtu wa mpira ilivuruga pia.

Taarifa yake ilipoteza uhalisia wa tatizo. Lakini, taarifa ya polisi iliweka wazi, mashabiki wa Simba walikuwa wanarudishia kwa viti walivyotupiwa na waarabu.

Ova
Ahsante..umeelezea vizuri
 
Hivi Wizara ya michezo Tanzania imejifunza nini kutokana nq haya maamuzi ya Caf? Je bado wataendelea kuishi inikiza Simba kuwa ndo ilikuwa ilikuwa chanzo cha vurugu.?
 
Adhabu itaanza kwenye mechi ya jumapili dhidi ya waarabu wa songea kisha mechi ya robo fainali!
Hizo ni za kikachero, taarifa rasmi itakuja mjumbe auwawi!
 
IMG_20241231_164052_104.jpg
 
Hizo adhabu nyingine zilikuwa za hawa wachambuzi wetu uchwara. Ila serikali iliitoza Simba kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokodi uwanja kwa serikali.

Kwamba ilikuwa ikiwajobika kuuacha kama ilivyoukuta hata kama siye yeye aliyehusika kuuharibu uwanja. Lakini, na Waziri kutokuwa mtu wa mpira ilivuruga pia.

Taarifa yake ilipoteza uhalisia wa tatizo. Lakini, taarifa ya polisi iliweka wazi, mashabiki wa Simba walikuwa wanarudishia kwa viti walivyotupiwa na waarabu.

Ova
Leo rungu la CAF limepita na nyie. Sijui nao mtasema ni uchwara?
 
Adhabu itaanza kwenye mechi ya jumapili dhidi ya waarabu wa songea kisha mechi ya robo fainali!
Hizo ni za kikachero, taarifa rasmi itakuja mjumbe auwawi!
Kumbe ulishaipata ikiwa bado ya moto Mkuu? Umetisha sana.
 
Back
Top Bottom