Muulize Kaduguda Kiongozi pale Simba ndo alisema shirikisho ni mashindano ya akina mamaNawasiwasi na jinsia yako mzee,Kamdomo unako sana ,alafu kitu kidogo tuu unakimbilia kusema mashindano ya kina mama while wewe ulikua huko fainal.Je ulikua mmama?
Ata kundi la yanga kuna vibonde wawili wale wa nafasi mbili za mwisho.Hapo mmefuraahi wenyewe wazee wa ganda la ndizi.
Ila kwa jinsi mambo yalivyo katika kundi lenu mkishindwa kuvuka mtashangaza sana, kundi limejaza vibonde watupu nyie wenyewe mna afadhali.
Kaduguda akijitia dole na wewe utajitia dole?Muulize Kaduguda Kiongozi pale Simba ndo alisema shirikisho ni mashindano ya akina mama
Sasa ndo mpo Shirikisho, sisi tukayaita mashindano ya akina mama mnatoka na mapanga
Nitakutia weweKaduguda akijitia dole na wewe utajitia dole?
And the oposite is true.Nitakutia wewe
Siunaona nimekutia umekuja kulia hapa
Hata kundi lenu ni vibonde watupu lakini mmeshindwa kupata ushindi angalau mechi moja tu.Hapo mmefuraahi wenyewe wazee wa ganda la ndizi.
Ila kwa jinsi mambo yalivyo katika kundi lenu mkishindwa kuvuka mtashangaza sana, kundi limejaza vibonde watupu nyie wenyewe mna afadhali.
Hayo mashindano yenu ya akina baba mna point ngapi mpaka sasa ukilinganisha na mashindano yetu ya akina mama.Lala mbumbumbu na mashindano yenu ya akina mama
Nina point 1 ila Bado mashindano hayajakwishaHayo mashindano yenu ya akina baba mna point ngapi mpaka sasa ukilinganisha na mashindano yetu ya akina mama.
Hizo adhabu nyingine zilikuwa za hawa wachambuzi wetu uchwara. Ila serikali iliitoza Simba kwa sababu yenyewe ndiyo iliyokodi uwanja kwa serikali.Kwahiyo zile adhabu za hapa kwetu ni batili na walikurupuka?
Mambo ya group letu yanakujaje tena hapa jamani?Ata kundi la yanga kuna vibonde wawili wale wa nafasi mbili za mwisho.
Ila mashabiki wa Yanga wanakua mbogo ukiwatajia msimamo wa kundi Lao aisee.Mambo ya group letu yanakujaje tena hapa jamani?
Nafasi tulikuwa nayo, uongozi umetuangusha kwa kufanya mabadiliko ya kocha kimihemuko.Kwenye Kundi lenu mlisema nyie mtapita kibabe kwa kuongoza kundi,.....
ila mpaka sasa tunavyoongea Mashabiki wa Yanga hapa vijiweni ukiwagusia habari za Klabu bingwa(Cafcl) wanainuka wanaondoka.
Inaumiza sana.Ila mashabiki wa Yanga wanakua mbogo ukiwatajia msimamo wa kundi Lao aisee.
Good nimeipenda hiiNafasi tulikuwa nayo, uongozi umetuangusha kwa kufanya mabadiliko ya kocha kimihemuko.
Binafsi sina matumaini ya kusonga mbele, nimeshakubali.
Mwenzio hapo nilikuwa natania, sio kila kitu unashupaza shingo Mkuu.Lini simba amewahi kushindwa kuvuka hatua ya makundi?
Kundi linakuwaje na vibonde wakati timu 3 zina alama 6?
Mpira unaangalia kweli au unasikiliza kwenye redio? Unaelewa hata ulichokiandika au umepagawa?
Inaumiza sana.
Kumkosa Kocha mzoefu katika benchi la ufundi kwenye mashindano haya pekee basi ni tiketi ya kuishia makundi, haijalishi una kikosi bora kiasi gani.Binafsi pia sikutarajia kama Yanga wangefanya maamuzi ya kijinga namna hii. Kumfukuza kocha wakati una mashindano magumu mbele,walipaswa kusubiri kipindi hiki mechi ziliposimama,
Bado mapema kuikatia Yanga Tamaa
Nakubaliana na wewe.Kumkosa Kocha mzoefu katika benchi la ufundi kwenye mashindano haya pekee basi ni tiketi ya kuishia makundi, haijalishi una kikosi bora kiasi gani.
Kwa hili, sitokaa nimsamehe Hersi. Nimeumizwa sana.