CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba

Ahsante..umeelezea vizuri
 
Hivi Wizara ya michezo Tanzania imejifunza nini kutokana nq haya maamuzi ya Caf? Je bado wataendelea kuishi inikiza Simba kuwa ndo ilikuwa ilikuwa chanzo cha vurugu.?
 
Adhabu itaanza kwenye mechi ya jumapili dhidi ya waarabu wa songea kisha mechi ya robo fainali!
Hizo ni za kikachero, taarifa rasmi itakuja mjumbe auwawi!
 
Leo rungu la CAF limepita na nyie. Sijui nao mtasema ni uchwara?
 
Adhabu itaanza kwenye mechi ya jumapili dhidi ya waarabu wa songea kisha mechi ya robo fainali!
Hizo ni za kikachero, taarifa rasmi itakuja mjumbe auwawi!
Kumbe ulishaipata ikiwa bado ya moto Mkuu? Umetisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…