Tunza risiti hiyo. Tukutane hapa January mkiwa mmegubikwa na majonzi.To continue with this Dream press 0.
To resume to normal press 1.
Jamaniiiii...daaahMungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.
Daah!! Na Screen shot hii post...kuna Siku nitakuja kuitumiaSimba bingwa
Yanga kazi anayo
Kweli aiseeeTunza risiti hiyo. Tukutane hapa January mkiwa mmegubikwa na majonzi.
MkuuOyah, wananchi wenzangu, hakika tumepangwa kundi rahisi sana.
Muache na kundi lake la damu ๐Mkuu
Nifah habari za Leo๐๐๐Mungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.
Eti eenh?Hapo Yanga direct to robo
Tumesevu!!Yanga hatoboi makundi
Simba nusu uhakika
Save hii comment.
Timu sahihi๐Mungu saidia tupangiwe teams ngumu ili tupate changamoto sahihi kabla ya robo fainali.
Hao hao๐Simba hawa ambao wamerudishiwa goli mbili na coastal union
Ulikosea point Moja. Ni 13 na siyo 14.Ikipangwa hivyo Simba tutamaliza top of the group points14
Ya mashindano yapi?Wananchi robo fainaili hiyoooo!!!!
Wa kawaida ama ni kawaida yao kwenda robo fainali?Al hilal awezi kutoboa kwa yanga hii ya sasa, tuliwaona wanacheza mechi za kirafiki hapa na tumewaona pia wakicheza uko Mauritania ni wa kawaida sana kwa sasa
Ulikuwa sahihiKundi la kifo hili! Sioni kama kuna mnyonge hapa. Yanga lazima ikaze msuli. Yale magoli ya akina Dube wanayokosa kizembe, hapa siyo sehemu yake.
Mwakikundi FC... ๐ธ ๐ธWananchi robo fainaili hiyoooo!!!!
Ulikuwa sahihiNaona damu tu dadeki...
Hapa Yanga hachomoki jamani.
Teh teh teh teh ๐ ๐ ๐ ๐Mungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.