cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Avuke kwenda wapiii? 😂😂😂😂Ni kundi la Yanga ni gumu, ila uwezo wa kuvuka upo kama timu ikibadilika.
Avuke kwenda wapiii? 😂😂😂😂Ni kundi la Yanga ni gumu, ila uwezo wa kuvuka upo kama timu ikibadilika.
Tuone nn? Utopoloo mnalo hili, hamuendi kokote.Simba mnalopoka sana ngoje muone
Nilichokiona leo, mh Yanga ni mbovu mnoAvuke kwenda wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba sisi Tunaitaka Semi, kota tushaichoka sasa.Simba ana urahisi wa kupita ila Yanga ana wakati mgumu sana. Sijui kwa nini kila mwaka Yanga huangukia kundi gumu tu.
Miujiza tenaa? 😂😂😂😂😂Kwa hii Yanga ya msimu huu, mmmmh sijui labda tuone miujiza ya kocha mpya.
Simba bwan hivi mna jiamin na mpanzu na kibu et?Tuone nn? Utopoloo mnalo hili, hamuendi kokote.
Waarabu watawala kote kote. 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Tunaisubiri kwa hamu,wewe shabikia kunguni
Huu mwaka mtaita maji mma. 😂😂😂😂Nilichokiona leo, mh Yanga ni mbovu mno
Na nyie mnajiamini na Dube? 😂😂😂Simba bwan hivi mna jiamin na mpanzu na kibu et?
We leo umeangalia mpira? Ume muona timu au ujaiona?Na nyie mnajiamini na Dube? 😂😂😂
Huna team kabisaa.We leo umeangalia mpira? Ume muona timu au ujaiona?
Tuangalie wabunge wana kula kiapoHuna team kabisaa.
Sina muda huo mie.Tuangalie wabunge wana kula kiapo
Ngoja tuone..Upangaji wa makundi ya CAFCL umekamilika kwa Yanga kupangwa kundi moja ya Al Ahly wakati Simba itakuwa kundi moja na Esperance
View attachment 3496685
Achana na hiyo cc,Anza tu na@,cocasticCc @cascated