CAFCL Group Stage: Yanga yawekwa kundi moja na Al Ahly, Simba wapewa Esperance

Simba ana urahisi wa kupita ila Yanga ana wakati mgumu sana. Sijui kwa nini kila mwaka Yanga huangukia kundi gumu tu.
Simba sisi Tunaitaka Semi, kota tushaichoka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…