CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana. Aliweka wazi kuwa Bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa

Kunywa Pepsi na kuja aisee kulipa
 

Kiongozi akikwapua fedha za serikali, siyo kuzirudisha tu na kufutwa kazi hii ni pamoja na kufungwa ikithibitika kuwa aliiba kweli, ebo!

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Bunge la Ndugai chenga tupu yeye kazi yake kupongeza na kusifu plus kuchekesha. Mungu fundi bwana waliyetaka kumuongezea muda hayupo na madudu ndo kama haya yanafumuka.


Sukuma Gang
 
Kiufupi bila kumung'unya maneno Jiwe alikua mwizi na serikali yake ilikua ya wezi.
 
Kwa Hii RIPOTI ya CAG Bunge letu linapaswa lijitafakari juu ya utendaji wake wa kazi, kwa nini UBADHIRIFU wa fedha za serikali unajitokeza mara kwa mara wakati Hunge ni kazi yake kuisimamia serikali na ina kamati mbalimbali?!
nini hiii?!
kuna tatizo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…