CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana. Aliweka wazi kuwa Bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa

CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana. Aliweka wazi kuwa Bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa

Kikwete licha ya madudu yake mengi tunayodai lakini aliacha CAG makini saaaaana.

Akaacha walau Bunge lilioweza kusikiliza upinzani.

Akaacha vyombo vya habar vizungumze vinavyoweza kuzungumza.

Jiwe ndo alikuja kuharibu hili taifa, kiongozi wa hovyo kabisa yule.
Kunywa Pepsi na kuja aisee kulipa
 
Mh CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana,aliweka wazi kuwa bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa. Ule udhaifu aliousema ni huu uliotufikisha hapa leo. KATIBA imeweka wazi kazi ya bunge ni KUSIMAMIA na KUISHAURI serikali. Hii kazi ya KUSIFU tu wameitoa wapi?

Tulijiuliza mbona enzi za mwalimu watu hawakusimama kujiita wazalendo? Wakati huu mtu akisimama anajiita Mzalendo
Tofauti ni kwamba wazalendo wa Nyerere walikuwa wanaitwa na watu kwa sababu ya matendo, Wazalendo wetu wanajiita ili kuficha UFISADI.

“Matumizi mabaya ya Ofisi” “Kuisababishia Serikali hasara” haya mambo si yanaingia kama Rushwa na Uhujumu uchumi?

Kuna namna Katiba yetu inatakiwa kubadilishwa. Kiongozi akiiba hela za nchi kama hivi anatakiwa azirudishe na kufutwa uongozi kabisa maana akiendelea kuwa kuongozi ataendelea kuiba tu. Jela ndo sehemu inawafaa baada ya kufilisiwa.

Mr mkiki

Kiongozi akikwapua fedha za serikali, siyo kuzirudisha tu na kufutwa kazi hii ni pamoja na kufungwa ikithibitika kuwa aliiba kweli, ebo!

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Bunge la Ndugai chenga tupu yeye kazi yake kupongeza na kusifu plus kuchekesha. Mungu fundi bwana waliyetaka kumuongezea muda hayupo na madudu ndo kama haya yanafumuka.


Sukuma Gang
 
Kiufupi bila kumung'unya maneno Jiwe alikua mwizi na serikali yake ilikua ya wezi.
 
Kwa Hii RIPOTI ya CAG Bunge letu linapaswa lijitafakari juu ya utendaji wake wa kazi, kwa nini UBADHIRIFU wa fedha za serikali unajitokeza mara kwa mara wakati Hunge ni kazi yake kuisimamia serikali na ina kamati mbalimbali?!
nini hiii?!
kuna tatizo gani?
 
Back
Top Bottom