Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
sura nyingine ilifichwa kwa makusudi kabisa ili ionekane kuwa kila kitu kinaenda smooth. kumbe sio.Watanzania walionyesha sura moja ya Shillingi na Muheshimia Albana Kazi .Lkn Ukweli muheshimiwa Albana Kazi shilingi ina sura 2 sasa watanzania wanaonyesha upande wa pili wanaanza kushangaa.ATCL wapeni emirates or fly dubai or Qatar hawa ndio air lines za uhakika .
Teh teh teh teh MATAGA bwana[emoji1787][emoji1787]Kweli mambo yanaenda kasi sana.
Miaka 5 iliyopita nani alikuwa anawasilisha ripoti, Kichele au Prof Assad?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Viongozi wazito walienda kukata viuno airport kupokea huu utopolo unaotuletea hasara tupu.
Sasa Kenya hapa imeingiaje mkuu au umelewa?Ufipa achen ujinga Kenya Wana hasara ya more than 89B na bado Hali sio nzur
Matindi alikuwa na nyodo sana wakati wa JPM, he was untouchable, alidharau sana wabia anaofanya nao kazi including ofc ya CAG.Meneja hajiuzulu na board ivunjwe! Na matumizi yachunguzwe!
Sawa mwerevu unaedhani kwamba magufuli alikuwa wa kwanza kununua ndege nchi hiiWewe ni mshamba tu, wala huelewi lolote na wala hujui maana ya maendeleo naweza kusema ni mzigo katika taifa hili
Wakati wa kikwete hata kama palikua na upigaji ulikua unawanufaisha wengi ila wakati wa jiwe upigaji ulikua unanufaisha wachache...Assad, hakuona hayo, sijui alipokea mlungula[emoji24]!
Thread ulete mwenyewe matusi uporomoshe mwenyewe ,pambana kwa hoja siyo kushinda kwa matusiWe malaya hujamuona huyo malaya mwenzako alivyotukana? Pumbavu mkubwa.
Kenya Airways ni public traded company na hiyo hasara sio 100% imeenda kwa serikali. ATCL ni fully government owned na hasara inaenda moja kwa moja kwa walipa kodi.Biashara ya ndege kwa Serikali ni biashara isiyo na tija. Afadhali ATCL Kenya Airways ina hasara fedha za Kenya karibia 300bn.
Ukiona mimi nafikiri kizembe basi nakukumbusha haya yaliyowahi kutokea nchi moja uyunani huko..Acha kufikiri kwa uzembe.
Ipitie malampaka, malya, ngudu then mabukiuza hayo mandege,hela yake jengea barabara ya lami toka singia~mkalama~meatu~lalago~maswa~mwanza!