CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Watanzania walionyesha sura moja ya Shillingi na Muheshimia Albana Kazi .Lkn Ukweli muheshimiwa Albana Kazi shilingi ina sura 2 sasa watanzania wanaonyesha upande wa pili wanaanza kushangaa.ATCL wapeni emirates or fly dubai or Qatar hawa ndio air lines za uhakika .
sura nyingine ilifichwa kwa makusudi kabisa ili ionekane kuwa kila kitu kinaenda smooth. kumbe sio.
nadhani mama aki un-earth haya mafail.. pichanya marehem inaweza kuwa na taswira nyingine kiutendaji
 
Billion 60 maana yake kila Mtanzania amekula hasara ya shilingi 1000, dah [emoji16]
 
Akina ZZK walisema tangia mwanzoni kabisa kwamba shirika hili linajiendesha kwa hasara,lkn mapambio yakazidi tukaendelea na biashara yetu
 
Fasjet nayo ilikuwa inaendeshwa kwa hasara ndo maana waliacha kazi hapa tz au

Msaada tutani
 
Meneja hajiuzulu na board ivunjwe! Na matumizi yachunguzwe!
Matindi alikuwa na nyodo sana wakati wa JPM, he was untouchable, alidharau sana wabia anaofanya nao kazi including ofc ya CAG.
 
Biashara ya ndege kwa Serikali ni biashara isiyo na tija. Afadhali ATCL Kenya Airways ina hasara fedha za Kenya karibia 300bn.
Kenya Airways ni public traded company na hiyo hasara sio 100% imeenda kwa serikali. ATCL ni fully government owned na hasara inaenda moja kwa moja kwa walipa kodi.

Halafu KQ inafanya business inayoonekana kwa macho kwa kuangalia routes wanazofanya, hii ATCL bado hata kwenda ulaya imekuwa ni politics.

Mwisho wa siku ATCL haina impact kwenye uchumi kama ilivo KQ ambayo imekuwa ni backbone ya sekta ya utalii Kenya.
 
Acha kufikiri kwa uzembe.
Ukiona mimi nafikiri kizembe basi nakukumbusha haya yaliyowahi kutokea nchi moja uyunani huko..


Mosi Mdhibiti na mkaguzi mkuu alifutwa kazi baada ya kuhoji maslahi fulani fulani ya kikundi fulani cha watu kwenye kununua vyombo vya usafiri wa angani....

Pili uliibuka ugonjwa uambukizwao kwa njia ya hewa mtaalamu mmoja aliyekua tabibu na naibu wa mkuu wa ile wizara alisema haoni matokeo chanya yatokanayo na kukaa kwenye mvuke jikoni badala yake watu wafuate taratibu za kitabu!


Je kupitia hayo unafikiri nini kilijiri? Tafakari hayo
 
[emoji1786][emoji1786]
IMG_20210328_125557.jpg
 
Nashindwa kumuelewa sasa misifa ya nini kuendelea na biashara isiyo na faida?
 
Back
Top Bottom