CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Hasara iliyipatikana kwa mmoja tu inatosha kujenga hospitali za wilaya 120 kwa gharama ya milioni 500 kila moja!

Inatosha kujenga viwanda 10 vya bilioni 6 kila kimoja.

Jambo hili hakimezeki.
Na hiyo ni hasara ya mwaka mmoja tu
 
Viongozi wazito walienda kukata viuno airport kupokea huu utopolo unaotuletea hasara tupu.
Kwasasa hamna airline inapata faida na bado kampuni hizo bado zinaendelea kufanya kazi, mfano KQ 351mil Usd loss, Ethiopian 550 mil usd, Air France-Klm 12 bil usd loss. Hiyo ni mifano michache tu.
Faida kwa sekta nyingine zipo kwahiyo kama unafikiri hiyo biashara itaachwa ujue tu uko ndotoni.
 
Meko kaku brainwash sana
 
Mataga mlidhani biashara ya airline ni kama biashara ya ufugaji wa ng'ombe 🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo unajifunza kutoka Kwa waliofeli?
 
Wewe unaambiwa imepata hasara wewe unataka uambiwe na faida. Faida gani sasa? Wewe kweli ni kiazi
 
Wewe unaambiwa imepata hasara wewe unataka uambiwe na faida. Faida gani sasa? Wewe kweli ni kiazi
 
Pole sana.
Hata huelewi kinachoongelewa. Upate hasara then utafute faida. Unajua maana ya faida, hasara au kitu kinachoitwa break even
 
Kuna wengine bado hawajaamka kule ng'ambo ili wakutane na hii habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…