watu hawaelewi kitu kimoja, kwamba kukaguliwa kwa ATCL ni njia mojawapo ya kuiandaa hadhara ya Tanzania ili shirika liki binafsishwa kwa mabeberu na wenye fedha kuwepo na jibu kwamba shirika halileti faida... tunaelekea kule kule tulipo toka, deal na madeal ya upigaji kwa kisingizio cha hasara kama Rwanda air inavyotaka kufanya sasa na Qatar airways...
Hizi mambo za ubinafsishaji ni kupiga deal tu maana hatukuweza tulipo shirikiana na Soutyh Africa airways . Amekeni Watanzania, CAG na ndugu zake ni matayarisho tu ya ubinafsishaji wa ATCL ujao. Ni maoni yangu...