CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

[emoji847][emoji847]
IMG_20210328_125908.jpg
 
Ukiona mimi nafikiri kizembe basi nakukumbusha haya yaliyowahi kutokea nchi moja uyunani huko..


Mosi Mdhibiti na mkaguzi mkuu alifutwa kazi baada ya kuhoji maslahi fulani fulani ya kikundi fulani cha watu kwenye kununua vyombo vya usafiri wa angani....

Pili uliibuka ugonjwa uambukizwao kwa njia ya hewa mtaalamu mmoja aliyekua tabibu na naibu wa mkuu wa ile wizara alisema haoni matokeo chanya yatokanayo na kukaa kwenye mvuke jikoni badala yake watu wafuate taratibu za kitabu!


Je kupitia hayo unafikiri nini kilijiri? Tafakari hayo
Mh..!
 
Kuna uzushi mkubwa uliletwa na Zitto kuwa kasma ya Atcl imehamishiwa ikulu ili watu waibe pesa sababu pesa za ikulu hazikaguliwi. Jambo ambalo lilikuwa sio kweli na wafuasi wa Chadema walikomaa sana juu ya ishu. Leo wameumbuka.
View attachment 1736519
Punguza mzuka , tokea ndege zininuliwe, Mara. Ngapi ulisikia mahesabu yake, mashirika mengi ya merge Tabatha hesabu za quarterly lakini kwa ATCL kitendawili
 
Biashara ya ndege kwa Serikali ni biashara isiyo na tija. Afadhali ATCL Kenya Airways ina hasara fedha za Kenya karibia 300bn.
KQ wameshawahi kututangazia faida haya tuambie ATCL lini walitangaza kupata faida? Hiyo ni biashara kichaa
 
Back
Top Bottom