Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Umelazimishwa uchangie?Thread ulete mwenyewe matusi uporomoshe mwenyewe ,pambana kwa hoja siyo kushinda kwa matusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umelazimishwa uchangie?Thread ulete mwenyewe matusi uporomoshe mwenyewe ,pambana kwa hoja siyo kushinda kwa matusi
Mh..!Ukiona mimi nafikiri kizembe basi nakukumbusha haya yaliyowahi kutokea nchi moja uyunani huko..
Mosi Mdhibiti na mkaguzi mkuu alifutwa kazi baada ya kuhoji maslahi fulani fulani ya kikundi fulani cha watu kwenye kununua vyombo vya usafiri wa angani....
Pili uliibuka ugonjwa uambukizwao kwa njia ya hewa mtaalamu mmoja aliyekua tabibu na naibu wa mkuu wa ile wizara alisema haoni matokeo chanya yatokanayo na kukaa kwenye mvuke jikoni badala yake watu wafuate taratibu za kitabu!
Je kupitia hayo unafikiri nini kilijiri? Tafakari hayo
Hiyo ndiyo kawaida ya ukwel hata kama itapita miaka 100 bado IPO siku ukweli hutokeaHatimae ukweli umetamalaki
watu walimwabia usinunue ndege yeye kzidisha kununua ,sasa ona alivyotafuna nchi,ccm mnahatia juu ya haya mamboMagufuli alikuwa haambiliki na haya ndio madhara yake
Assad alifukuzwa baada ya kusema kuna fedha Trilioni moja na nusu hazijulikani zilipo. Tukubaliane kimsingi Meko alikuwa mwizi .Kweli mambo yanaenda kasi sana.
Miaka 5 iliyopita nani alikuwa anawasilisha ripoti, Kichele au Prof Assad?
Punguza mzuka , tokea ndege zininuliwe, Mara. Ngapi ulisikia mahesabu yake, mashirika mengi ya merge Tabatha hesabu za quarterly lakini kwa ATCL kitendawiliKuna uzushi mkubwa uliletwa na Zitto kuwa kasma ya Atcl imehamishiwa ikulu ili watu waibe pesa sababu pesa za ikulu hazikaguliwi. Jambo ambalo lilikuwa sio kweli na wafuasi wa Chadema walikomaa sana juu ya ishu. Leo wameumbuka.
View attachment 1736519
Kweli mambo yanaenda kasi sana.
Miaka 5 iliyopita nani alikuwa anawasilisha ripoti, Kichele au Prof Assad?
Daaa yaani ni ni wizi na ufisadi wa hali ya juuwatu walimwabia usinunue ndege yeye kzidisha kununua ,sasa ona alivyotafuna nchi,ccm mnahatia juu ya haya mambo
Imeathirika kwakipindi gani? Tofautisha na mashirika mengine ATCL tangu lifufuliwe miaka mitano iliyopita halijawahi kuingiza mia ni hasara kwenda mbele.biashara gani hiyo kichaa?Sekta ya usafiri wa ndege imeathirika sio tu Tanzania ulimwenguni mwote
Nina haki ya kusoma kilichoandikwa kwenye JFUmelazimishwa uchangie?
KQ wameshawahi kututangazia faida haya tuambie ATCL lini walitangaza kupata faida? Hiyo ni biashara kichaaBiashara ya ndege kwa Serikali ni biashara isiyo na tija. Afadhali ATCL Kenya Airways ina hasara fedha za Kenya karibia 300bn.
Tanzania my country!Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?
View attachment 1736531
View attachment 1736513
dah mitandao noma sana. there is no hiding now.[emoji847][emoji847]View attachment 1736599
aiseeeee. noma sana.[emoji1786][emoji1786]View attachment 1736565
Usiangalie shilingi upande mmoja.Nina haki ya kusoma kilichoandikwa kwenye JF