mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,193
- 1,854
Nina jinyonga kumbe kachoma pesa zetu za kodi alizokuwa ana tunyanganya!bilioni 60 jumlisha manunuzi ya ndege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina jinyonga kumbe kachoma pesa zetu za kodi alizokuwa ana tunyanganya!bilioni 60 jumlisha manunuzi ya ndege
Hasara miaka mi 5 ni bil 690...[emoji23][emoji23][emoji23] faida nakumbuka ilitajwa bil 28...haya chakata hapoTukishajua Hasara Bil.60 tujue na Faida ni Bil.ngapi,usikute Faida ni Bil.90,sasa tukitoa 90 - 60 tunapata 30.bil hii ndio faida yetu japo ni kidogo ila si mbaya,hebu tuache jadili Hasara tuulize na Faida iliyopatikana kwa miaka hiyo mi 5 ni kiasi gani.
Jiulize aliyekuwa anabana hizi taarifa ni nani, mataga wamechimbia vichwa kwenye mchanga kama mbuni.Kweli mambo yanaenda kasi sana.
Miaka 5 iliyopita nani alikuwa anawasilisha ripoti, Kichele au Prof Assad?
Yeah, uliwanufaisha Acassia, na mabeberu! Ni kweli ufisadi wa kikwete regime ulinufaisha dunia! Ndio maana baada ya mabwana zenu mabeberu walipobanwa mkaanza kupalamika!Wakati wa kikwete hata kama palikua na upigaji ulikua unawanufaisha wengi ila wakati wa jiwe upigaji ulikua unanufaisha wachache...
NB: uwanja wa chato umejengwa na mayanga construction sasa jiulize hiyo kampuni mmiliki ni nani...
Assad hakuziona yizo taarifa ndio maana Magufuli hakuzipat! Huyu cag wa sasa anavukunyua yote, hapokei mlungul ndio maan kayaibua yote haya!Jiulize aliyekuwa anabana hizi taarifa ni nani, mataga wamechimbia vichwa kwenye mchanga kama mbuni.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ni lini ATCL walitoa gawio kwa serikali???Dunia ina mambo hii wanatoa gawio wakati hakuna biashara tumebanwa na mlipuko wa ugonjwa sijui walikua wanatoa wapi hela za gawio hawa wahuni...
Mama D hakukuwa hata na mpango kazi (BP) na shujaa alitamka wazi haya ndio yayaochelewesha maendeleo... Huwezi kuna BP afu ufanye transaction uncertain kama ile cash!
Hili shirika si kuna kipindi lilitoa gawio serikalini ?Bilioni 60 hasara ambayo inatakiwa ilipwe ili turudi kwenye zero kwanza.
Bilioni 60 ingefanya mabadiliko kiasi gani kama ingewekwa kwenye kilimo au elimu?
Hahaha unapiga debe lami ipite SANGANG'WALUGESHAuza hayo mandege,hela yake jengea barabara ya lami toka singia~mkalama~meatu~lalago~maswa~mwanza!
Walitoa na walitangaza faida ya 28billion kipindi wanapokea ndege moja kwenye taarifa za Serikali fatilia utajua mimi huo upigaji hata sitaki kujua...Ni lini ATCL walitoa gawio kwa serikali???
Wangeacha shirika lijiendeshe lenyewe.Viongozi wazito walienda kukata viuno airport kupokea huu utopolo unaotuletea hasara tupu.