CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Tukishajua Hasara Bil.60 tujue na Faida ni Bil.ngapi,usikute Faida ni Bil.90,sasa tukitoa 90 - 60 tunapata 30.bil hii ndio faida yetu japo ni kidogo ila si mbaya,hebu tuache jadili Hasara tuulize na Faida iliyopatikana kwa miaka hiyo mi 5 ni kiasi gani.
Hasara miaka mi 5 ni bil 690...[emoji23][emoji23][emoji23] faida nakumbuka ilitajwa bil 28...haya chakata hapo
 
Wakati wa kikwete hata kama palikua na upigaji ulikua unawanufaisha wengi ila wakati wa jiwe upigaji ulikua unanufaisha wachache...

NB: uwanja wa chato umejengwa na mayanga construction sasa jiulize hiyo kampuni mmiliki ni nani...
Yeah, uliwanufaisha Acassia, na mabeberu! Ni kweli ufisadi wa kikwete regime ulinufaisha dunia! Ndio maana baada ya mabwana zenu mabeberu walipobanwa mkaanza kupalamika!
 
20210328_123725.jpg
 
Dunia ina mambo hii wanatoa gawio wakati hakuna biashara tumebanwa na mlipuko wa ugonjwa sijui walikua wanatoa wapi hela za gawio hawa wahuni...
 
Jiulize aliyekuwa anabana hizi taarifa ni nani, mataga wamechimbia vichwa kwenye mchanga kama mbuni.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Assad hakuziona yizo taarifa ndio maana Magufuli hakuzipat! Huyu cag wa sasa anavukunyua yote, hapokei mlungul ndio maan kayaibua yote haya!
 
Bilioni 60 hasara ambayo inatakiwa ilipwe ili turudi kwenye zero kwanza.

Bilioni 60 ingefanya mabadiliko kiasi gani kama ingewekwa kwenye kilimo au elimu?
Hili shirika si kuna kipindi lilitoa gawio serikalini ?
 
Tuwe wakweli angekuwa hai JPM huyu Mkaguzi angeisema ATCL? Utawala wa Awamu ya Tano ulikuwa na maovu mengi sana. Tujipe muda tu yataibuka yote. Mungu ni mwema
 
Hii hasara ya Ndege imesomwa kwa kuwa Rais kwa sasa ni Samia....
 
How did Ethiopian Airlines make it happen?

The success of Ethiopian Airlines can be attributed to two factors.

First: It is the airline's clarity of vision and independence from the government in day-to-day operations.

In fact, Ethiopian Airlines achieved its Vision 2025 targets in 2018 and is now working toward realising its Vision 2035

Unaweza kusoma zaidi hapa (mods nisameheni kwa hii link)

 
Back
Top Bottom