Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Itafika sehemu tutaenda chato kutia pingu kaburi we subiri, CHADEMA walichelewesha sana maendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko walipo Matanga hata hewa hakuna aibunawasubiri team kusifu na kuabudu waje kupinga report.
Kuna uzushi mkubwa uliletwa na Zitto kuwa kasma ya Atcl imehamishiwa ikulu ili watu waibe pesa sababu pesa za ikulu hazikaguliwi. Jambo ambalo lilikuwa sio kweli na wafuasi wa Chadema walikomaa sana juu ya ishu. Leo wameumbuka.
View attachment 1736519
MATAGA walikuwa hawalisaidi taifa kabisa ,wao ni mapambio tu,Mh Samia inabidi akae nao mbali sana watampoteza.....Kwa kauli yake ya kumwambia CAG atoe taarifa za ukweli ili waweze kuchukua hatua ni kauli njema sana.Huko walipo Matanga hata hewa hakuna aibu
Zilitumika ghalama izo nikweliMmmhhh Bilion 60 unajenga uwanja gani? Au unafananisha kuchukua watu elfu 60? Embu tafiti kwanza?
Kwa upungufu tulio kuwa nao wa wafanyakazi wapangiwe majukumu mengine na ATCL ijumuike na TCAA.
Nadhani hapo inachowekwa kwenye income statement ni ile interest rate tu.Payback Period ya mashirika ya ndege huwa ipoje mkuu
Hatimae ukweli um
Napenda kujua report ya mwaka unaoishia June 30, 2019 ilisemaje kuhusu ATCL?Nasikia tatu nyingine zipo njiani..
Kuna kitu unatakiwa kujua kihasibu. Uwekezaji mkubwa mara nyingi unachukua miaka kadhaa kuanza kuleta faida. Faida maana yake hela inayoingia ni kubwa kuliko inayotoka. Hasara ni kinyume chake. Kuna ndege zimenunuliwa tu juzi unatakaje zipate faida ndani ya siku mbili? Haiwezekani kabisaa duniani kote. Baada ya muda shirika litatulia. Ukianza biashara ya kupanda mitiki leo, mwakani si rahisi ukapata faida.kuna kundi fulani liliqah kutaka kumshauri. akawa blinded na political view. even though alijua hili shirika lina run on hasara.
Biashara ya ndege si mchezo, hata kwa nchi zenye uzoefu na mashirika makubwa , bado wanaendelea kuyaendesha kwa hasara. Tena baada ya corona kuingia basi ni taabu sana. Umeona mashirika kama Ethiopian Airlines na mengine ikabidi kuchangamkia haraka cargo ili kuweza kusurvive... mashirika mengine huku southern Afrika mpaka serikali zao zinanawa sasa mikono kuacha tu yafilisiwe i.e. kama SAA ambayo serikali imekuwa kuwa inabail out pesa mfululizo kila mwaka since 2010...Na vilevile Namibia Airways nayo imekuwa liquidated hivi karibuni for similar reasons.. Kwa hiyo biashara ya ndege si rahisi kama wengi wetu tunavyofikiri inahitaji bussines plan iliyosheni na mambo mengi, na bila kuingiza sana ' politics' ktk uendeshaji wake. Hata wenzetu Kenya Airways currently, wamekuwa wanaoperate kwa losses .. Mie ningeshauri Mh. Samia Suluhu na serikali yake, kwa issue ya ATC na kwa vile hayati Mzee wetu aliiweka chini ya ikulu moja kwa moja, na ikimaanisha kwamba kwa yeye Rais kwa sasa ndo itabidi awajibike vilevile kwa masaibu ya ATC, hivyo kwake labda akiwa na washauri wake na ikimpendeza kulingana na all options, vilevile kufikiria kuipatia ATC, deadline period ya ku break-even ambapo wakishindwa, itabidi market forces ziongeee ili kuepusha further losses. Serikali ijitahidi kutojiingiza kuimiliki 100 percent kwenye biashara na labda mostly, wanakuwa na shares tu na other entities kuepuka hasara kubwa kwa taxpayers money.Kuna Kenya airways, Ethiopia airways, Rwanda airways. Ili la kwetu ni uongozi mbovu na kukosa ubunifu!
Nadhani hapa tunachanganya mambo mawili.Mradi kama stendi ya mabasi pale Mbezi Luis umeghalimu Tsh Billion 50..!!!! Mpaka mradi ujiendeshe kwa faida tunaitaji miaka mingapi? Hapa watu wanaodili na biashara wanaweza kutushauri zaidi.
Tanzania hiihii.Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?
View attachment 1736513
Hapo na fikiria kwanza kurudisha msingi. Hivi ni kwa miaka 5 au kwa mwaka?
Mwambie Samia sasa. Hizo enzi zimepita.Kuna kitu unatakiwa kujua kihasibu. Uwekezaji mkubwa mara nyingi unachukua miaka kadhaa kuanza kuleta faida. Faida maana yake hela inayoingia ni kubwa kuliko inayotoka. Hasara ni kinyume chake. Kuna ndege zimenunuliwa tu juzi unatakaje zipate faida ndani ya siku mbili? Haiwezekani kabisaa duniani kote. Baada ya muda shirika litatulia. Ukianza biashara ya kupanda mitiki leo, mwakani si rahisi ukapata faida.
Aiseeee, Hadi huruma.! Kuna siku utaelewa kweli kama huelewi report ya CAG?Tukishajua Hasara Bil.60 tujue na Faida ni Bil.ngapi,usikute Faida ni Bil.90,sasa tukitoa 90 - 60 tunapata 30.bil hii ndio faida yetu japo ni kidogo ila si mbaya,hebu tuache jadili Hasara tuulize na Faida iliyopatikana kwa miaka hiyo mi 5 ni kiasi gani.
Huyu mother inatakiwa awe makini sana na suala la ajira.Daaah yaani sa hv ningekuwa na nyumba yangu nzuri kabisa maeneo ya mbweni , mweshimiwa Alibana ajira ili anunue ndege ...daaah yote mema Tu lakn