Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Hasara 6 years back to back! In manara voice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu lengo la Serikali kuwa na Airlines ni ku boost sector nyingine za Uchumi kama Utalii na Kurahisisha usafiri. Kwahiyo kifupi airlines zinakuwa na indirect effect kwenye uchumi wa Nchi. Hili lazima tulikumbuke. Japo ki ukweli biashara hii ni ngumu mno. Naona Shirika la ndege la Kenya limeomba Bail out from the Government. Mimi sipingi kuwa n Airlines kama taifa, lakini nasisitza management yake iwe juu mno. US airlines ambazo ni Private business zinatengeneza faida, japo kwa kipindi hiki cha Covid Biashara zimeyumba sana. Nchi nyingine kama South Africa, zina recession kabisaa ya Uchumi, sisi kidogo kuna unafuu kutokana kwamba hatu take stringend measures za Covid kama Wenzetu kule. Anyway niseme kwa wale ambao ni below 40 years kama mimi tujuei ipo siku tutabebeshwa majukumu ya nchi, tupambane tuipiganie nchi yetu isonge mbele. Hatuna nchi tunaiita nyumbani zaidi ya Tanzania. Hapa sizungumzii Chama nazungumzia Utaifa. Maaana nchi kwanza, halafu Vyama baadaye. Mungu ibariki TanzaniaJapokuwa si muandishi mzuri, lakini mkuu umeongea facts. Hichi ndicho wenye akili walikuwa wakishauri siku zote, wamesema sana wakaitwa majina sijui wasaliti sijui wakwamishaji sijui wamekosa uzalendo.
Hii mada imewazidi uwezo watu wengi sana hasa mataga, narudia tena mataga. Hawaelewi wanatetea nini na hawaelewi hawatetei nini na wengine wameanza kuhamisha magoli eti ni mbinu za kulifilisi na kutaka kulibinafsisha shirika.
Ni lini serikali itaelewa umuhimu wa kutokuweka mtaji 100% ambao ni pesa ya walipa kodi katika biashara na badala yake imiliki shares kadhaa na ijiondoke katika uendeshaji ila ilinde maslahi yake.
hapanaUshawahi fanya biashara?
Hayo na mengi mengine yalifichwa mno angetangaza hivyo enzi za magufuli angeishia pabaya, yote yatajulikana.Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?
View attachment 1736513
Yaani hata maoni yangu ni kuwa brainwashed ? kila mtu aliyekwenda shule maana yake kawa brainwashed na hata wewe pia huhitaji kuwa na memory kung'amua yajayo... kikwete aliwaambia, akili za kuambia .. changanyanya na zako ndugu...Meko kaku brainwash sana
Hujawa Brainwashed Mkuu. Usiogope. Tunatofautiana experience ya ku judge mambo na uzoefu katika mambo ya kisiasa na kijamii pia.Yaani hata maoni yangu ni kuwa brainwashed ? kila mtu aliyekwenda shule maana yake kawa brainwashed na hata wewe pia huhitaji kuwa na memory kung'amua yajayo... kikwete aliwaambia, akili za kuambia .. changanyanya na zako ndugu...
Tuangalie hasara inapanda au inashuka. Mimi ningefanikiwa kusoma Financial Statements zao ningeweza jua niseme nini lakini kwa sasa sina mahesabu yao.Hayo na mengi mengine yalifichwa mno angetangaza hivyo enzi za magufuli angeishia pabaya, yote yatajulikana.
Naona kimya kimya mnaanza kujidai mpo upande wa Mama 😂😂😂Wavujisha siri utawala huu watakuwa hawana nafasi kila kitu kitakuwa wazi kigogo atakosa ajira!
Una hakika hasara zimeanza baada ya corona kuibuka?Tatizo la ujinga na kushupalia kitu ilhali changamoto za kusababisha hivyo zipo wazi, hivi issue ya Corona nani asiyeijua?? pamoja na kusitishwa kwa vitu vingi ikiwemo safari za nje sababu ya ugonjwa huo uliolikumba sio taifa la Tanzania bali na Dunia nzima mlitaraji ATCL itengeneze faida??? jifunzeni hata ku reason kidogo
Kujaa so hoja. Running expenses zinaendana na revenue? Inaonyesha gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko mapato.Wadau naomba Msaada. Ripoti ya CAG imeonyesha hasara ya 60 Bln kwa ATCL, kulikoni? Mbona ATCL wanaongoza kwa abiria wengi, ndege zinajaa Sana, Kama Ile ya India ilijaa hadi tukamchelewesha ndugu yetu aliyekuwa mgonjwa Sana kwa kukosa nafasi. SIJAELEWA, NAOMBA MSAADA.
www.boeing.com › customers › air-...
787 Dreamliner to become part of Air Tanzania fleet - Boeing
787-8 is first ever wide-body order for 'The Wings of Kilimanjaro' Boeing and the United Republic of Tanzania have confirmed an order for one 787-8 Dreamliner, valued at $224.6 million at list prices. The aircraft will be operated by Air Tanzania, the flag carrier of Tanzania
Air Tanzania Airbus A220-300© AirbusHahahahaa viuno kama vya kangi nimecheka kama mazuriViongozi wazito walienda kukata viuno airport kupokea huu utopolo unaotuletea hasara tupu.