CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Swala hapo sio kupata hasara, swala ni kwamba nchi lazima iwe na shirika lake la ndege hiyo ni lazima na sio swala la kujadili. Naona kuna watu wanafurahia hapa kuona shirika limepata hasara ni kama wanataka hizo ndege zisiwepo maana zinawanyima usingizi.

Sasa tujiulize, Kenya na Ethiopia wamekuwa na mashirika ya ndege miaka nenda rudi wanapata hasara wakati mwingine faida lakini hawaachi kwa kuwa wanajua umuhimu wa ndege. Wataalamu wetu wanaohusika na biashara ya anga ndio muda wao kutoa ushauri nini kifanyike. Hata hivyo shirika letu bado changa, na safari za nje bado chache, mathematically hapo uwezekano wa kupata hasara ni mkubwa japo huko mbelini tutapata faida na hilo ndio lilikuea lengo la kununua hizo ndege.
Mbwembwe zilikuwa nyingi,na tuliambiwa hela zipoo! ,pia hayakuwa manunuzi shirikishi, biashara yoyote ile,ili ufanikiwe lazima uwe na mpango mzuri wa biashara wenye ushindani. 'You have to sale what you know a customers is going to buy not what you think is going to buy'.A business plan helps to make mistakes on papers.
 
Kati ya mambo ambayo marehemu aliwakosea Watz ni kukomba pesa na kwenda kununua ndege, na kuleta figisu ili Fastjet waondoke.

Wakati wa Fastjet,Mwanza - Dar sh 150,000. Leo 400,000. Hivi kweli huyu alikuwa anawasaidia wananchi au anawakomoa?
 
Sekta ya usafiri wa ndege imeathirika sio tu Tanzania ulimwenguni mwote

Kama hiyo inajulukana, kwanini Magufuli aliendelea kuagiza ndege nyingine? Je bunge liliidhinisha haya manunuzi? Kama haikuidhinisha Bunge lilichukua hatua gani kwa ukiukaji huu wa taratibu na kanuni?
 
Swala hapo sio kupata hasara, swala ni kwamba nchi lazima iwe na shirika lake la ndege hiyo ni lazima na sio swala la kujadili. Naona kuna watu wanafurahia hapa kuona shirika limepata hasara ni kama wanataka hizo ndege zisiwepo maana zinawanyima usingizi.

Sasa tujiulize, Kenya na Ethiopia wamekuwa na mashirika ya ndege miaka nenda rudi wanapata hasara wakati mwingine faida lakini hawaachi kwa kuwa wanajua umuhimu wa ndege. Wataalamu wetu wanaohusika na biashara ya anga ndio muda wao kutoa ushauri nini kifanyike. Hata hivyo shirika letu bado changa, na safari za nje bado chache, mathematically hapo uwezekano wa kupata hasara ni mkubwa japo huko mbelini tutapata faida na hilo ndio lilikuea lengo la kununua hizo ndege.
Usifanye biashara ya hasara kwa sababu mtu fulani anafanya. KLM aliekuwa mmbia mkubwa wa Kenya Airways, alifaidika sana na hasara zao. Kabla ya kugawa sehemu ya hisa zake kwa mabank wanayoidai Kenya Airways katika harakati za kulipa madeni.

Angalia huu mchezo 👇

Kenya Airways income statement 2019

3A8526DB-8745-43EF-9D43-463A929B1628.jpeg

Focus on loss for the year 127 million dollar ☝️

..............................................................

👇 Angalia sasa hiyo loss inaleta faida gani kwenye income statement ya KLM mwaka huo huo

4CF526E9-75F4-4236-B0EE-94DF0F5AE716.jpeg

Focus on other income and expenses ☝️utaona loss ya $127 million. Maana yake loss za Kenya Airways they can claim as loss of other trading income kwao na kupunguza profit tax wanazotakiwa kulipa huko kwao kwa kiasi cha $127 million.

Ndio maana wakati serikali ya Kenya inalia hasara, KLM kama wabia wakubwa mpaka hivi majuzi they were not bothered na loss za KA kama shirika.
........................,...............................

Walivyowajanja washatoa na asilimia kubwa ya hisa zao; shirika likienda kwenye administration either serikali ya Kenya ifanye bailout au asset stripping processes zinafuata. If it’s the latter kuna enough asset bado kwao kupata faida.

Hapo kuna long story ya kuelezea on how corporate taxation works nchi za mabeberu with oversees investments on what you pay if you make profit and what you can claim back if you make a loss.

Kenya imechezewa sana na KLM kwa manufaa yao, pengine walishaona mapema KA was loss making business na sababu ya kuinvest ni kupunguza kodi kwa hasara watakazopata Kenya. That was a tax evasion scheme in a legal way.

Hiyo ni moja ya sababu usiige kitu elewa biashara inavyofanyika, na kwa management ya ATCL sahau faida hapo miaka 800, they have to go first.

Wengine TTCL hakuna kitu pale, mtu mmoja mwenye akili timamu amkanye Ndugulile mapema. Afanye yote lakini sio kuingilia mambo ya kibiashara ukimsikiliza tu unaona he is brewing another unnecessary problem leading to hike in mobile phones charges.
 
Wengi wangejua unachouliza wasinge comment ovyo...

Swali la kisomi (Break Even Point)
Mradi kama stendi ya mabasi pale Mbezi Luis umeghalimu Tsh Billion 50..!!!! Mpaka mradi ujiendeshe kwa faida tunaitaji miaka mingapi? Hapa watu wanaodili na biashara wanaweza kutushauri zaidi.
 
Impact kwenye kipato cha utaki
Faida inatumika kwa huduma jamii..

Hasara unayoisoma ni Break Even Point
Stendi,hospital,maji,umeme na barabara hizo ni huduma ambazo hata zisiporudisha faida zina manufaa kwa watumiaji na ni wananchi walio wengi. Dar ina watu 6 milion wanaotumia ile stand. Hizi ndege zina watumiaji wangapi?
 
Open main menu

[https://en]

Search

Break-even (economics)

Language

Download PDF

Watch

Edit

This article is about break-evens in economics. For other uses, see Break-even (disambiguation).

The break-even point (BEP) in economics, business—and specifically cost accounting—is the point at which total cost and total revenue are equal, i.e. "even". There is no net loss or gain, and one has "broken even", though opportunity costs have been paid and capital has received the risk-adjusted, expected return. In short, all costs that must be paid are paid, and there is neither profit or loss.[1][2]

[https://upload]

The Break-Even Point

Overview

Purpose

Construction

Limitations

See also

References

Further reading

External links

Last edited 27 days ago by Assem Khidhr

RELATED ARTICLES

Operating leverage

Contribution margin

Cost–volume–profit analysis

[https://en]

Content is available under CC BY-SA 3.0 unless otherwise noted.

Privacy policy

Terms of Use

Desktop

Huwezi kuwaonaa
 
Badoo najiuliza kwa mitano imeendeshwa kwa hasara lakini Mbna tulikuwa hatusikii?

Ilikuwa not included kwenye report au ilikuwa haisemwi kwa makusud chini ya mzee wetu hayati
 
Tunao zitumia hizo ndege tulikuwa tunajua kuwa zinatengeneza hasara toka siku nyingi tuu, kuanzia route zinazopita,abiria wanaochukuliwa, customer care ya shirika kwa ujumla, gharama za nauli na vitu vingine. Ndege ina route 3 za kwenda kigoma/ bukoba unategemea utapata abiria wangapi, wakati huo nauli ni laki sita.

Unaanzisha route ya kwenda Iringa/Katavi nauli laki 3 utaenda na abiia 20-30 kurudi je? Nimesafiri na hizi ndege kwenda mikoa tofauti tofauti abiria ni hamna na yote hii ni ukubwa wa nauli na huduma mbovu. Mfano kuna issue zimenitokea mara kadhaa unaenda airport saa moja jioni unafika pale unaambiwa mtaondoka saa sita usiku bila sababu ya msingi hapo ratiba imevurugika huo muda ningekuwa nimepanda basi ningekuwa nishafika. Kuna siku nilikuwa naenda iringa kutokea Dar ticket inaonesha tutaondoka saa sita mchana tummefika airport saa tano zaidi ya abiria 11 tunaambiwa ndege imeondoka saa moja asubuhi abiria wote walipigiwa simu yaani how imeenda na abiria gani sasa maana tulio hapa ni zaidi ya 10 wanaanza kuhangaika namna ya kutu handle watakosa hasara hawa, hata hiyo 60B ni makadirio ya chini.

Ndege inaruka kwenda South Africa na abiria 22 sijui india abiria wachache kwasababu wamezoea Tanzania hawana mshindani wa kibiashara basi wanajua hata hizo route zingine ni hivyohivyo. Waruhusu Fast Jet irudii, walete mashirika mengine kuwe na ushindani mkubwa wa kibiashara ATCL itajifunza namna ya kuendesha hilo shirika, ndege intoka mwanza kwenda KIA kwenda DAR abiria hamnaa, hata ndani ya nchi mtasema Corona.
 
Kila biashara unapoanza kuna hasara kabla hujaanza kupata faida.

Utakuwa kwenye red hadi hasara ipungue kuelekea zero, then utaanza kupata faida.

Gharama za uendeshaji wa biashara ukianza huwa ni hasara.

Muhimu sana hii

Na kama kuna hasara zaidi ya iliyotarajiwa tujue sababu....
Kama ni matokeo ya COVID au uzembe au ni ufisadi
Screenshot_20210329-004214_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20210329-000835_Samsung%20Internet.jpg
 
Break Even Point....

Ndege zinaingiza faida ila mwanzo wa biashara cost zinakuwa sio even na faida.

Hasara ilikuwa 113B na sasa 60B... tunaelekea zero then faida... takes some years..

Kashule muhimu kidogo[emoji16]
Tunao zitumia hizo ndege tulikuwa tunajua kuwa zinatengeneza hasara toka siku nyingi tuu, kuanzia route zinazopita,abiria wanaochukuliwa, customer care ya shirika kwa ujumla, gharama za nauli na vitu vingine. Ndege ina route 3 za kwenda kigoma/ bukoba unategemea utapata abiria wangapi, wakati huo nauli ni laki sita.

Unaanzisha route ya kwenda Iringa/Katavi nauli laki 3 utaenda na abiia 20-30 kurudi je? Nimesafiri na hizi ndege kwenda mikoa tofauti tofauti abiria ni hamna na yote hii ni ukubwa wa nauli na huduma mbovu. Mfano kuna issue zimenitokea mara kadhaa unaenda airport saa moja jioni unafika pale unaambiwa mtaondoka saa sita usiku bila sababu ya msingi hapo ratiba imevurugika huo muda ningekuwa nimepanda basi ningekuwa nishafika. Kuna siku nilikuwa naenda iringa kutokea Dar ticket inaonesha tutaondoka saa sita mchana tummefika airport saa tano zaidi ya abiria 11 tunaambiwa ndege imeondoka saa moja asubuhi abiria wote walipigiwa simu yaani how imeenda na abiria gani sasa maana tulio hapa ni zaidi ya 10 wanaanza kuhangaika namna ya kutu handle watakosa hasara hawa, hata hiyo 60B ni makadirio ya chini.

Ndege inaruka kwenda South Africa na abiria 22 sijui india abiria wachache kwasababu wamezoea Tanzania hawana mshindani wa kibiashara basi wanajua hata hizo route zingine ni hivyohivyo. Waruhusu Fast Jet irudii, walete mashirika mengine kuwe na ushindani mkubwa wa kibiashara ATCL itajifunza namna ya kuendesha hilo shirika, ndege intoka mwanza kwenda KIA kwenda DAR abiria hamnaa, hata ndani ya nchi mtasema Corona.
 
Hasara nyingine inayokuja ni SGR hii ndio hasara ya waziwazi kabisa. Hivi Morogo Dar Utapata abiria Gani wakiwa wanaenda kufanya nini why Dar Morogoro yaani ni hasara inayokuja kuonekana waziwazi. SGR za wenzetu nchi zingine zinaanzia Airport Ndani kwenda mjini na maeneo mengine sisi ya kwetu haieleweki inaanzia wapi inaishia wapi yaani unapigwa vumbi kuifikia SGR ukishuka pia unapigwa Vumbi kuingia mjini.

SGR tungeanza na kipande cha Airport hadi posta, mbezi beach na maeneo mengine ambayo watalii wanafikia sanaa then ifike mpaka dodoma ambako ndio makao makuu na ofisi nyingi zilipo za serikali sasa mtu ashuke morogoro kufanya nini. tutakuja somewa hasara tena
 
Back
Top Bottom