CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Break Even Point....

Ndege zinaingiza faida ila mwanzo wa biashara cost zinakuwa sio even na faida.

Hasara ilikuwa 113B na sasa 60B... tunaelekea zero then faida... takes some years..

Kashule muhimu kidogo[emoji16]
Humu wengi ni wana siasa, hakuna wanachojua zaidi ya politics, mambo ya uchumi na biashara hawajui, nimewaeleza kuwa hadi tukapofika kwenye zero loss ndipo tutaanza kupata faida, itachukua muda from 113 bill to 60bil tutaenda 40 bill all the way to zero ndipo tupate faida, we need time otherwise hakuna biashara Tanzania tutaweza fanya, kila mtakacho gusa kitakuwa kigumu. Uamuzi ni sahihi kufufua ATCL but tuwape fleet zao zone zije na muda wafanye kazi.

Elimu ni muhimu sana Tanzania, elimu za Twitter na Instagram tu hazitoshi, mtaua makampuni yote, siasa siasa sio better than education.
 
Unamaanisha CAG hakuwa anajua anachokisema aliposema serikali iangalie namna ya kuwasaidia.
 
Kila biashara unapoanza kuna hasara kabla hujaanza kupata faida....

Utakuwa kwenye red hadi hasara ipungue kuelekea zero... then utaanza kupata faida...

Gharama za uendeshaji wa biashara ukianza huwa ni hasara....

View attachment 1737451View attachment 1737452
Break Even Point....

Ndege zinaingiza faida ila mwanzo wa biashara cost zinakuwa sio even na faida.

Hasara ilikuwa 113B na sasa 60B... tunaelekea zero then faida... takes some years..

Kashule muhimu kidogo
emoji16.png
Humu wengi ni wana siasa, hakuna wanachojua zaidi ya politics, mambo ya uchumi na biashara hawajui, nimewaeleza kuwa hadi tukapofika kwenye zero loss ndipo tutaanza kupata faida, itachukua muda from 113 bill to 60bil tutaenda 40 bill all the way to zero ndipo tupate faida, we need time otherwise hakuna biashara Tanzania tutaweza fanya, kila mtakacho gusa kitakuwa kigumu. Uamuzi ni sahihi kufufua ATCL but tuwape fleet zao zone zije na muda wafanye kazi.

Elimu ni muhimu sana Tanzania, elimu za Twitter na Instagram tu hazitoshi, mtaua makampuni yote, siasa siasa sio better than education.

Tuwekee na mpango kazi wao kwanza!
Ili tujue walikua waanze kutengeneza faida lini

Cc Wacha Chakorii
Asomae na afahamu

Asante wachumi😍👍
 
Kama hiyo inajulukana, kwanini Magufuli aliendelea kuagiza ndege nyingine? Je bunge liliidhinisha haya manunuzi? Kama haikuidhinisha Bunge lilichukua hatua gani kwa ukiukaji huu wa taratibu na kanuni?
Je tuna bunge kibogoyo?
 
328000 one way??[emoji849][emoji849]

Acha nipande roli
Na viwanja vya ndege vipo mikoa michache unafika destination ya Kwanza alafu utafute usafiri mwingine Ili ufike unapokwenda, mfano ushuke alafu upande basi kwenda Musoma so wajitahidi kupunguza nauli na kusogeza viwanja vya ndege kila mkoa.
 
Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?

View attachment 1736513
Izi ni porojo tu,, mama anatumia same tactics alizoanza nazo magufuli aliposhika madaraka..kumchafua mtangulizi wake ili yeye asifiwe...
Tuliambiwa ATCL na madege yake yameamishiwa fungu la sita, which means CAG hawezi kufanya ukaguzi, izo data za hasara wamezitoa wapi...pia iyo report ya CAG na mavitabu yake imekamilika kitambo kabla ata mmagufuri hajafa, uyu CAG ni puppet wa Magufuli, hasingeweza kuandaa report inayo mchafua magufuri.
 
Vita ipi ya uchumi
Ilikuwa vita hewa ,unavurunda mwenyewe unawambia wadanganyika unapigana vita ,huwezi kuimarisha uchumi kwa sera ambazo hazina muelekeo 'policy uncertainty' you can not plan business growth with policy uncertainty
 
Mkuu Loss ya 60 ni ndani ya miaka mitano na Loss kubwa imepatikana miaka hii miwili ya Corana but hao kenya Airways wamepata Loss ya B 30 ndani ya mwaka mmoja tu. ATCL ilikuwa inapunguza Loss kila mwaka na baadae ingeweza kuleta faida.Afu watu wajue kuwa JPM Hakutarget kwenye bishara,Alileta hizi ndege kwa lengo la kuboresha huduma ya usafir.
Hivi unaelewa ulichokiandika
 
Naunga mkono hoja yako. Mindege iuzwe pesa itakayopatikana ielekezwe kwenye ajira ili na sisi vijana japo tufaidi keki ya taifa
 
Bora yauzwe ili kila mwananchi apate noah yake. [emoji276]Nasema uogo ndugu zangu.
 
Kenya Airways imetengezeza hasara kipindi cha Covid 19 wakati nchi zikiwa kwenye lockdown! Mfano Kenya airways ilikuwa inasafirisha mpaka UK Lakini UK walifungia ndege nyingi kuingia kwao na mpaka sasa hivi kama una kwenda UK lazima ujiweke quarantine kwa wiki mbili kwa gharama zako mwenyewe ambazo ni karibia £2000. Hii imewafanya watu wengi wasisafiri!

Labda ni sahihishwe kwamba Kenya Airways ilikuwa inajiendesha kwa hasara miaka mingi kabla ya Covid 19! ATC tunaambiwa ni miaka mitano sasa linalamba hasara!
KQ imepata hasara kwa takriban miaka 10 mfululizo
 
Back
Top Bottom