Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,353
- 1,784
Humu wengi ni wana siasa, hakuna wanachojua zaidi ya politics, mambo ya uchumi na biashara hawajui, nimewaeleza kuwa hadi tukapofika kwenye zero loss ndipo tutaanza kupata faida, itachukua muda from 113 bill to 60bil tutaenda 40 bill all the way to zero ndipo tupate faida, we need time otherwise hakuna biashara Tanzania tutaweza fanya, kila mtakacho gusa kitakuwa kigumu. Uamuzi ni sahihi kufufua ATCL but tuwape fleet zao zone zije na muda wafanye kazi.Break Even Point....
Ndege zinaingiza faida ila mwanzo wa biashara cost zinakuwa sio even na faida.
Hasara ilikuwa 113B na sasa 60B... tunaelekea zero then faida... takes some years..
Kashule muhimu kidogo[emoji16]
Elimu ni muhimu sana Tanzania, elimu za Twitter na Instagram tu hazitoshi, mtaua makampuni yote, siasa siasa sio better than education.