CAG: ATCL imetengeneza hasara ya Tsh. Bilioni 153.542 ndani ya miaka Mitano

Hizo ndege ziuzwe tu hata kwa bei ya hasara, yaliyotokea yanatosha kuwa funzo kwetu, na kuanzia leo kila awamu itakayoingia madarakani iweke wazi mikataba yote itakayoingia wananchi waisome, waichambue wajue hasara na faida zake, isiwe siri tena, kuwaachia hawa CCM waendelee kufikiria kwa niaba yetu kuna siku tutauzwa kwa wawekezaji.

Hizi ripoti za CAG kila awamu zinakuja na madudu tu, tutaendelea kushangaa mpaka lini? wenye nchi tuamke sasa, hiyo mikataba watakayoingia mbele ya safari itangazwe hata kwenye magazeti ya serikali tuijue.
Nchi ishauzwa
 
Kampuni ya Ndege imekuwa ikitengeneza hasara kwa miaka 5 mfululizo na mwaka huu ilitengeneza hasara ya Sh. Bilioni 60.246. Kwa miaka mitano imetengeneza hasara ya Sh. Bilioni 153.542.

View attachment 1746953

====

Kampuni ya Ndege Tanzania

Nilifanya ukaguzi wa kiutendaji (Startegic and Operational Efficiency) kwenye Kampuni ya Ndege Tanzania na kubaini yafuatayo:

Hadi kufikia tarehe 30 Juni 2020, Serikali ilikuwa imenunua ndege 8 kwa gharama ya Sh. Trilioni 1.028 katika juhudi ya kuifufua Kampuni ya Ndege Tanzania.

Ndege hizo zinamilikiwa na Wakala wa Ndege za Serikali na ATCL huzikodisha.

Pamoja na kununua ndege, kwa miaka mitano yaani kuanzia 2015/16 hadi 2019/20 Serikali imeisaidia Kampuni ya Ndege kiasi cha Sh. Bilioni 153.711 kwa ajili ya shughuli za uendeshaji na maendeleo.

Hata hivyo nilibaini changamoto zifuatazo ambazo zinatakiwa kushughulikiwa ili kuimarisha utendaji wa Kampuni ya Ndege:

Bodi ya Wakurugenzi haina mjumbe hata mmoja ambaye ana uzoefu kwenye masuala ya usafiri wa anga.

Wakati wa changamoto ya Corona (Covid 19) ndege nyingi zilikuwa zimesimama lakini ATCL ilikuwa inatozwa gharama za ukodishaji bila kujali kwamba ndege zilikuwa hazifanyi kazi kutokana na changamoto ya Covid 19. Hii inatokana na ukweli kwamba Mkataba wa ukodishaji kati ya TGFA na ATCL hauna kipengele cha Force majure. Katika kipindi kati ya Machi 2020 na Juni 2020 ATCL ilitozwa na TGFA kiasi cha Sh. Bilioni 15.464 kwa ajili ya ukodishaji wa ndege.

ATCL imerithi madeni makubwa ambayo hutozwa riba, kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 ATCL imetozwa riba ya Sh. Bilioni 12.497.

Kutokana na madeni hayo, inakuwa vigumu kwa ndege za ATCL kusafiri kwenda nje ya nchi kwani zinaweza kukamatwa.

Kuna changamoto ya viwanja vya ndege hapa nchini kiasi kwamba ndege za ATCL haziwezi kuruka usiku na pia kuna viwanja ambavyo ndege haziwezi kutua zikiwa zimechukua abiria kwa uwezo wake.

Soma pia:

1) ATCL yatengeneza faida ya $14M, yafuatayo yanasisimua
SAFI SAAAANA
 
Mh 😳😳
 
Duniani nilichokigundua watu hupenda kusikia mabayatu nawala siyo mazuri.
Huwa tunalaumu sana vyombo vya magharibu kumbe wenzetu walishafanya research na kugundua kuwa binadamu anapenda kusikia yale yapo negative tuu.
Tanzania tutafika tunakokutafuta nimudatu.
 
Kampuni ya Ndege imekuwa ikitengeneza hasara kwa miaka 5 mfululizo na mwaka huu ilitengeneza hasara ya Sh. Bilioni 60.246. Kwa miaka mitano imetengeneza hasara ya Sh. Bilioni 153.542.

View attachment 1746953

====

Kampuni ya Ndege Tanzania

Nilifanya ukaguzi wa kiutendaji (Startegic and Operational Efficiency) kwenye Kampuni ya Ndege Tanzania na kubaini yafuatayo:

Hadi kufikia tarehe 30 Juni 2020, Serikali ilikuwa imenunua ndege 8 kwa gharama ya Sh. Trilioni 1.028 katika juhudi ya kuifufua Kampuni ya Ndege Tanzania.

Ndege hizo zinamilikiwa na Wakala wa Ndege za Serikali na ATCL huzikodisha.

Pamoja na kununua ndege, kwa miaka mitano yaani kuanzia 2015/16 hadi 2019/20 Serikali imeisaidia Kampuni ya Ndege kiasi cha Sh. Bilioni 153.711 kwa ajili ya shughuli za uendeshaji na maendeleo.

Kampuni ya Ndege imekuwa ikitengeneza hasara kwa miaka 5 mfululizo na mwaka huu ilitengeneza hasara ya Sh. Bilioni 60.246. Kwa miaka mitano imetengeneza hasara ya Sh. Bilioni 153.542.

Hata hivyo nilibaini changamoto zifuatazo ambazo zinatakiwa kushughulikiwa ili kuimarisha utendaji wa Kampuni ya Ndege:

Bodi ya Wakurugenzi haina mjumbe hata mmoja ambaye ana uzoefu kwenye masuala ya usafiri wa anga.

Wakati wa changamoto ya Corona (Covid 19) ndege nyingi zilikuwa zimesimama lakini ATCL ilikuwa inatozwa gharama za ukodishaji bila kujali kwamba ndege zilikuwa hazifanyi kazi kutokana na changamoto ya Covid 19. Hii inatokana na ukweli kwamba Mkataba wa ukodishaji kati ya TGFA na ATCL hauna kipengele cha Force majure. Katika kipindi kati ya Machi 2020 na Juni 2020 ATCL ilitozwa na TGFA kiasi cha Sh. Bilioni 15.464 kwa ajili ya ukodishaji wa ndege.

ATCL imerithi madeni makubwa ambayo hutozwa riba, kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 ATCL imetozwa riba ya Sh. Bilioni 12.497.

Kutokana na madeni hayo, inakuwa vigumu kwa ndege za ATCL kusafiri kwenda nje ya nchi kwani zinaweza kukamatwa.

Kuna changamoto ya viwanja vya ndege hapa nchini kiasi kwamba ndege za ATCL haziwezi kuruka usiku na pia kuna viwanja ambavyo ndege haziwezi kutua zikiwa zimechukua abiria kwa uwezo wake.

Soma pia:

1) ATCL yatengeneza faida ya $14M, yafuatayo yanasisimua
CAG ameamua
 
Dreamliner moja iliyopaki ni sawa na matreka elf 10 mapya na vifaa vyake tena kwa cash, Kama ni kwa mkopo unapata trekta elf 50 za horse power 75.Trekta moja ulima heka 25 kwa siku kwa speed ya kivivu. Trekta moja utoa ajira kwa vijana 100.
So badala ya dreamliner moja iliyopaki kutoa ajira kwa watu 30 zingekuwa ni trekta zingetoa ajira milioni 5 za moja kwa moja achilia wategemezi wao.Ajira zote zilizonunulia ndege zingenunua trekta laki moja ambazo zingetoa ajira milioni 12 nchi nzima.Ndege ugusa wachache,kilimo ugusa wote.Kama Malaysia waliwekeza kwenye michikichi tu ndo wanailisha dunia mafuta ya kula na bado awajalijaza soko. Soko la mazao ya kilimo duniani ni kubwa hata KILA mtu alime tza hatutoweza kulijaza.Hela zilizotupwa kwenye ndege tilioni moja tungepata matreka laki 2 yangeajiri vijana milioni 12 zingemaliza tatizo la ajira nchini kwa kuwekeza kwenye kilimo mkakati na zingesharudi ndani ya miaka 3 tungepata pesa tosha za kigeni kukamilisha miradi yote bila kutegemea kukopa.Kupitia kilimo tu tungekuwa uchumi wa kati.Kama wakoloni wao waliweza maliza tatizo la ajira nchini why tunashindwa?Tangu Uhuru bado atujapata kiongozi sahihi mwenye uchungu anaeguswa na ugumu wa maisha ya watz,zaidi ya kuyafanya maisha yazidi kuwa magumu.Kwann watumishi wasipewe misamaha ya Kodi Ili wajinunulie magari binafsi kuliko kuwa na utitiri wa magari ya serikali ambayo hayazalishi,hayana faida ni hasara kwa mlipa Kodi V8 moja tu ni sawa na matrekta 10 mapya na jembe zake hapo ni sawa na ajira elf 1.
Tuendelee tu kuwalaumu mabeberu juu ya kushindwa kwetu aliyetupa Mali alitunyima akili.

Ushauri mzuri sana ,tukiuza midege kadhaa tukawekeza kwenye kilimo na kuwapa ajira vijana wetu mil 12 hakika tungeuza mazao nje na pia soko la ndani price ingeshuka,mzungukuko wa pesa ungeongezeka ,mnyororo wa thamani ungeongezeka.

Midege ni hasara kubwa sana, Jiwe alitupiga mchana kweupe kwenye MV DAR-ES-SALAAM ,eti ilinunuliwa kwa Bil 8 wakati Bakhresa alinunua ya kisasa na yenye speed kubwa kwa bil 4.
 
Bambushka unacheka nini? Lol! 😂😂😂
Mkuu nimecheka ulivyoingia maktaba! Kufukua kaburi.
Kutukumbusha tunanunua KESHI fedha zetu za ndani.
Aiseee hii injiii....mamaa Tanzania...😆
Kuna chama fulani kinapendelea tuwe wajinga kiendelee kututawala..sad

Everyday is Saturday................................😎
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂 siku nyingine huwa nakumbuka issues mbali mbali baada ya kusoma magazetini au kule Twitter. Basi huja hapa kufukua makaburi kwa kujua nitalipata tu kaburi husika.

Back
Top Bottom