jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu.
Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi?
Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani kutokana na uhaba wa umeme?
#VIVAJPM
Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi?
Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani kutokana na uhaba wa umeme?
#VIVAJPM