Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suali lako linakosa mantiki. Unataka CAG ajibu hypothetical question wakati yeye anadeal na facts on the table. Cha muhimu kwenye hii Report ya CAG ni mambo mawili;Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu.
Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi?
Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani kutokana na uhaba wa umeme?
#VIVAJPM
Ripoti zenu za uongo na kweli ndio zilizuia kujengwa huu mradi kwa miaka yote.Suali lako linakosa mantiki. Unataka CAG ajibu hypothetical question wakati yeye anadeal na facts on the table. Cha muhimu kwenye hii Report ya CAG ni mambo mawili;
1. Huwezi ukatumia feasibility study ya mwaka 1970 kwa mradi wa 2020. It simply does not make sense!
2. Na la muhimu zaidi, ni sustainability ya flow ya maji kwa kipindi tajwa haijachanganuliwa kwa mradi ambao utategemea maji.
Mheshimiwa mbunge mmoja nafikiri ni Heche aliwahi kusema utafiti unaonyesha kuwa sustainability ya flow ya maji kwenye mabwawa yetu yote haizidi miaka 30, hivyo ni vema hivi vyote vifanyike upya kwenye SG ili tuendelee vizuri.