Suali lako linakosa mantiki. Unataka CAG ajibu hypothetical question wakati yeye anadeal na facts on the table. Cha muhimu kwenye hii Report ya CAG ni mambo mawili;
1. Huwezi ukatumia feasibility study ya mwaka 1970 kwa mradi wa 2020. It simply does not make sense!
2. Na la muhimu zaidi, ni sustainability ya flow ya maji kwa kipindi tajwa haijachanganuliwa kwa mradi ambao utategemea maji.
Mheshimiwa mbunge mmoja nafikiri ni Heche aliwahi kusema utafiti unaonyesha kuwa sustainability ya flow ya maji kwenye mabwawa yetu yote haizidi miaka 30, hivyo ni vema hivi vyote vifanyike upya kwenye SG ili tuendelee vizuri.