Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Duhh
Kila siku hawa mbuzi wanakopa mabilioni ya fedha ili wapate fedha za kugawana na kutunisha matumbo yao binafsi. Walaaniwe na washindwe kwa jina la Yesu wa Nazareth aliye hai. Amina.Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere ya Mwaka 2024/2025 iliyosomwa leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam imeonesha kuwa Deni la Serikali hadi Juni 30, 2025 lilikuwa ni Tsh. Trilioni 110.05 ambapo ndani yam waka mmoja limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 12.7 sawa na Asilimia 13.04.
Hizo fedha za mkorogo anazokopa zitamuua kwa kansa ya ngozi. Mungu hadhihakiwi.Mkopaji mwenyewe anarembua macho TU.
KAZI ni kipimo cha utu
Ananunulia mkorogo mkuu. Huoni jinsi mkorogo ulivyomkubali?
Ndio tumefikia huku?Hizi pesa wanaprint tu ,hata USA anadaiwa ..Tuache kujifunga kimawazo ..Uchumi hauna uhalisia ..Pesa zetu wenyewe wanaprint wao ,acha tukope hatuwezi kufa njaa.