CAG: Deni la Serikali ni Tsh. Trilioni 110, ndani ya mwaka limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 12

CAG: Deni la Serikali ni Tsh. Trilioni 110, ndani ya mwaka limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 12

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere ya Mwaka 2024/2025 iliyosomwa leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam imeonesha kuwa Deni la Serikali hadi Juni 30, 2025 lilikuwa ni Tsh. Trilioni 110.05 ambapo ndani yam waka mmoja limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 12.7 sawa na Asilimia 13.04.
Huyu Ida Amina Mama atatufilisi na kutuachia matatizo. Alaaniwe na ashindwe.
 
Hizi pesa wanaprint tu ,hata USA anadaiwa ..Tuache kujifunga kimawazo ..Uchumi hauna uhalisia ..Pesa zetu wenyewe wanaprint wao ,acha tukope hatuwezi kufa njaa.
Kama wanaprint, kwa nini wakope? Si waprint wafanyie mambo yao ili washingie kwenye made ni ya ajabu yatakayosababisha rasilimali za taifa kuchukuliwa baada ya kushindwa kulipa
 
Back
Top Bottom