CAG: Deni la Serikali ni Tsh. Trilioni 110, ndani ya mwaka limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 12

Hizi pesa wanaprint tu ,hata USA anadaiwa ..Tuache kujifunga kimawazo ..Uchumi hauna uhalisia ..Pesa zetu wenyewe wanaprint wao ,acha tukope hatuwezi kufa njaa.

Lazima kuwe na transparency na wakubali critics. Unataka kutufananisha na USA watu wanaoabudu freedom? Acheni uchakubimbi
 
Kulikuwa na mwimbaji mzuri sana wa Taarabu miaka ya tisini kule TOT akiwa anaitwa Hadija Kopa alitoa Wimbo mmoja unaitwa Utalijua Jiji

Kama hujalijua jiji ngoja mama Kopa atakufundisha.


 
Halafu hakuna cha maana kilichofanyika!
 
HUYU KI HERE SHIRIKA LA TTCL NA TANESCO AMESAHAU KUSOMA AU
 
Mpaka huyu bibi amalize kipindi chake tutakuwa tumekoma. Tatizo mkorogo anaopaka anaulipia dollars kutoka huko Ulaya na anabadilisha mkorogo kila siku. Mkorogo tu kwa mwaka mzima ni zaidi ya bajeti ya wizara ya elimu.
 
Hizi pesa wanaprint tu ,hata USA anadaiwa ..Tuache kujifunga kimawazo ..Uchumi hauna uhalisia ..Pesa zetu wenyewe wanaprint wao ,acha tukope hatuwezi kufa njaa.
Madeni ya Tanzania yapo kwenye US dollars
Tanzania haiwezi kuprint US dollars, inapaswa kuzitafuta hizo pesa kihalali
 
Madeni ya Tanzania yapo kwenye US dollars
Tanzania haiwezi kuprint US dollars, inapaswa kuzitafuta hizo pesa kihalali
Tutakopa tena mpaka wakatae ila kwa sasa acha tukope 😅😅
 
Deni la usa (national debt) ni zaidi ya $34 trilioni+ (2026).
Hii ni sawa na zaidi ya 100% ya GDP ya nchi.
Relax buddy
Deni la USA lipo kwenye US dollars
Wanaweza kuprint kama wakitaka, coz deni lao lipo kwenye currency yao
 
nimemuuliza akajibu,miradi mikubwa imeanzishwa, nikamwambia aitaje,sasa ametokomea kusiko julikana.
Hawo machawa ndivyo walivyo. Ukiwauliza vitu detailed wanaishia kuvificha kwenye "mambo makubwa". Ukiwauliza wayataje hayo mambo, wanalala mbele!
 
Na hii ndiyo kazi pekee watawala wanaweza kuifanya kwa ufanisi mkubwa bila kukosea
 
Taifa linaangamia. Madeni yanaongezeka,ripoti ya CAG imetaja hasara nyingi sana kwenye mashirika na taasisi za umma. Hatuoni maendeleo yoyote kwenye nchi. Viwanda havijengwi. Barabara ndio zile zile za Magufuli. Yaani hii nchi inaoza kuoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…