johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CAG Kichere amesema Mkurugenzi wa mashtaka nchini amekusanya zaidi ya sh bilioni 60 kutokana na kesi mbalimbali na fedha hizo hazijatumika kutokana na kukosekana kwa sheria na mwongozo wa namna ya kuzitumia.
CAG amelishauri bunge kutunga sheria ya matumizi ya fedha hizi.
Ukinizingua Nitakuzingua!
Hawatatoboa abadani.Hii taarifa simply inamaanisha DPP alikuwa anafanya kazi isiyomhusu na isiyotambulika kisheria, kwa ufupi DPP alikuwa mnyan'ganyi.
Nichukue fursa hii kuwashauri wale wote waliotapeliwa pesa zao na DPP waende mahakamani kudai haki yao, nina hakika kabisa watashinda hizo kesi, watafute mawakili wanaoeleweka tu.
Nasiku nyingi sijasikia choto ikitamkwaKichere acha kihere hio hela ya maendeleo ya Chato.
Mbuzibee [emoji238]
Kwani zikipelekwa Hazina na zikaingizwa kwenye mfumo wa matumizi wa kawaida kama mapato mengine, kuna shida? Kutaka Bunge ndio litoe maelekezo ya kutumia hizi pesa, ni dalili ya kutaka kuzipiga?CAG amelishauri bunge kutunga sheria ya matumizi ya fedha hizi.
Watajitahidi sana hawatashinda. Tusubiri miezi mitatu ijayo muelewko utapatikanaHazijatumika siyo kwa sababu ya sheria ni kwa sababu aliyezitaka kaondoka angekuwepo wala asingehitaji sheria yangekuwa maelekezo tu, Nampongeza sana tena kwa dhati ya moyo wangu DPP, amefanya kazi nzuri sana (wasikilizaji wanapiga makofi, DPP ananyanyuka na kuinama) kaa tu DPP, amekusanya ndani ya miezi 4, 60B hizi ni fedha za watanzani maskini zilichukuliwa na wachache ila kwa sheria tuliyoipitisha bungeni na kwa hili nimpongeze Spika mtani wangu kwa kuhakikisha sheria inakamilika na tumeifanyizia kazi na haya leo ndiyo matunda yake
Sasa naelekeza hizo bilioni 60 zipelekwe Tanroads zikajenge mabarabara na madaraja na miundombinu mingine watu wa hazina mlisimamie hili kikamilifu(makofi), au nimefanya vibaya ndugu zangu, Asanteni sana
Kule Uingereza mtu akifa bila kuacha wosia na hana next of kin hela zake huchukuliwa na crown yaani zinakuwa za umma. Pamoja na ushamba wangu siwezi kuona ni jinsi gani faini inayolipwa mahakamani ikose matumizi. Zineanza leo? Tutayajua mengi, lete butamu.CAG Kichere amesema Mkurugenzi wa mashtaka nchini amekusanya zaidi ya sh bilioni 60 kutokana na kesi mbalimbali na fedha hizo hazijatumika kutokana na kukosekana kwa sheria na mwongozo wa namna ya kuzitumia.
CAG amelishauri bunge kutunga sheria ya matumizi ya fedha hizi.
Ukinizingua Nitakuzingua!
Ngoja tuone!Kwani zikipelekwa Hazina na zikaingizwa kwenye mfumo wa matumizi wa kawaida kama mapato mengine, kuna shida? Kutaka Bunge ndio litoe maelekezo ya kutumia hizi pesa, ni dalili ya kutaka kuzipiga?
DPP hakusanyi faini za mahakama bwasheeKule Uingereza mtu akifa bila kuacha wosia na hana next of kin hela zake huchukuliwa na crown yaani zinakuwa za umma. Pamoja na ushamba wangu siwezi kuona ni jinsi gani faini inayolipwa mahakamani ikose matumizi. Zineanza leo? Tutayajua mengi, lete butamu.