CAG: DPP amekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 60 na hazijatumika kwa sababu hakuna Sheria ya Matumizi yake

Kwanini hawajazipeleka kwenye akaunt ya gvt na zikapata matumizi
 
Huyu naye ni mtoto wa dadake marehemu mfalme juha
 
Kuna wakati Zitto alisema hakuna sheria ya plea bargaining Tanzania. Kama ni kweli hizo pesa zimekaa kimtego ndio maana hata wao wameshindwa kuzitumia, utashangaa siku wanaibuka wanasheria kuanza kuzidai.
Kwani zikipelekwa Hazina na zikaingizwa kwenye mfumo wa matumizi wa kawaida kama mapato mengine, kuna shida? Kutaka Bunge ndio litoe maelekezo ya kutumia hizi pesa, ni dalili ya kutaka kuzipiga?
 
Hongera DPP FEdha hizo zitumike kujenga vituo vya afya na hospitali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kama vile namuona live kupitia luninga ya TBC,
 
Kwa Hii spidi ya CAG, MATAGA wameshapoteana
 
Hiv wale wa kusamehewa makosa kwa malipo, ndo walikuwa walizilipa kwake?
 
Aisee......nimesoma hii post huku nikicheka. Uligusa mile mule.
 
Kwahiyo hii inamaana magufuli alikuwa anavunja sheria. Tunaendelea kuhesabu!
 
Hizo ni fedha haramu, rudisheni mlikozitoa.
 
Kichere apewe ulinzi mara dufu haraka. Wale watu wasiojulikana bado wapo by the way...
 
Dah... Katika hizo kuna 60mil za best friend wangu. Utawala wa Jiwe uliumiza sana watu
 
Mahakama ipi Dpp anafanya?
 
Kuna wakati Zitto alisema hakuna sheria ya plea bargaining Tanzania. Kama ni kweli hizo pesa zimekaa kimtego ndio maana hata wao wameshindwa kuzitumia, utashangaa siku wanaibuka wanasheria kuanza kuzidai.
Nadhani si kwamba zimeshindwa kutumika ni kwamba CAG kazikuta akapewa huo utetezi ila zilikuwa na kazi.
 
Daaah kuna watu mnajua jinsi Ya kuenda na tune za watu aisee, kama namuona live vile .
Daah mungu amuweke mahali anapostahili huko alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…