CAG: DPP amekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 60 na hazijatumika kwa sababu hakuna Sheria ya Matumizi yake

Hizo pesa zenye usikute hayati na kundi lake walishazipiga mapema tu

DPP alifanya majukumu ambayo sio yake na amefanya kinyume na sheria
Hata mimi na wasiwasi kama 'Ntu ya dili' aliziacha salama hizo pesa ndefu za unyang'anyi, alikwisha zipiga mapema sana bila shaka..
 
Kuna sheria ya bargaining ambayo inaruhusu mtuhumiwa kufanya makubaliao na DPP. Kama sheria ina mapungufu ni suala ka kufanyiwa maboresho kama sheria zingine zinavyoboreshwa.
 
Taifa pekee duniani ambalo DPP alikuwa ni TRA halafu hela inayopatikana inaishia kwenye ufisadi!🚶🚶🚶
 
Kuna sheria ya bargaining ambayo inaruhusu mtuhumiwa kufanya makubaliao na DPP. Kama sheria ina mapungufu ni suala ka kufanyiwa maboresho kama sheria zingine zinavyoboreshwa.
Nafikiri ilitungwa na marehemu..
 
Kwan unadhan hazijatumika?
Hizo pesa zimeshatumika kitambo

Ila kwa kua zilitumika kwa kauli za mtu, hapa kinachotafutwa ni uhalali wa

DPP kufutiliwa mbali,baada ya kushindwa kuzirudisha hizi Pesa, au kutozitolea maelezo


Yaaan mpaka sasa DPP moyo unadunda.
 
Billion 60 mkuu hazijengi hata mabarabara mkuu. Zinaweza kujenga kabarabara kamoja kiwango cha lami kasikokua na complications za madaraja mengi
Sema nini mbona naona kama chache sana kwa jinsi nilivyoanza kusikia toka DPP anapukutisha watu. Ila sio hata ni bora zipelekwa kwenye ujenzi wa madarasa itakua nafuu kidogo tusije kufanya kwa mtindo wa "zima moto" tena mwezi January hadi kuanza kuchangisha wanachi kea lazima kama vile hatujui idadi ya watoto wetu walio darasa la saba
 

Kitu ambacho hakipo kisheria; na wao walikubalije kufanya malipo kwa plea bargain kinyume cha sheria?
Nadhani hawawezi kushinda na kurejeshewa pesa zao, na hata wakishinda, itakuwa ni mwanzo mwingine wa kusikilizwa kwa tuhuma zao upya. Obvious hawako tayari kwa hilo.
 
Mkuu utakuwa wewe ndo ulikuwa mwandishi wa hotuba zile.

Nakutakia maandalizi mema ya Sabato.
 
Hii ripoti ya CAG imetuonyesha,kutufundisha na kutuonya kuwa tunahitaji taasisi imara na siyo mtu mmoja mwizi na fisadi anayejidai na kujinadi imara.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna watu mlikua mnamchora sana "Mwendazake"
 
Ziende kijijini kwenye shule za wale watoto wanaokaa chini...
 
Apigwe uhujumu uchumi huyu mjinga
 
Hii nchi ni zaidi ya shamba la bibi yaani ni kama choo cha stand kila mtu anaingia na kutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…