CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.

Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
  • Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
  • Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
  • Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
  • Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!

Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo si ajabu hazimo kwenye vitabu vya serikali!


Your browser is not able to display this video.


Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!

MAKAMU MWENYEKITI CCM ABDURAHMAN KINANA NAYE AKOLEZA

Ataka shutuma za CAG zichukuliwe hatua.
Your browser is not able to display this video.
 
Awamu fisadi kuliko zote
 
Kuna watu hata wakifa unatamani wafe tena kwa uovu walio watendea Binadamu wenzao.
 
Kwa

Kwa hiyo zipo bank gani?Kama wahuni wanatuhakikishia kwamba pesa hizo zilichukuliwa.Watuambie zipo bank ipi.Sio kutuletea maneno ya uongo yasuo na ushahid.
 
Aisee kweli wafuasi wa ******** ni misukule! Nalo hilo kuhusu uchaguzi kuwa uchafuzi ni uongo?

Kuna shule Mbalizi,Mbeya moja kati ya wanabodi walikuwa wanagombea 2019, alikusanya wanafunzi kujiandikisha vituo vyote vya kupigia kura, karibu wanafunzi wote wakaandikishwa(zaidi ya 800) ni bahati yake tu uchaguzi ukasusiwa na upinzani.

Muwe mnaushughulisha ubongo basi maana nyie misukule ni mnakera!
 
Vipi kuhusu ujenzi wa chato international airport mbona mnasingizia haukuwa na baraka za bunge wala taratibu za manunuzi ya umma hazikufatwa?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Acheni uzushi marehemu alikuwa muumini wa sheria za nchi asingeweza kijinasibisha na Mayanga construction company πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…