CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.

Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Kwa jinsi serikali ilivyoonyesha ina mtamani Mbowe mpaka kumpa kesi ya kubumba, Unafikiri hizi tuhuma zingekuwa za kweli saizi angekuwa uraiani?

Nyie masalia ya mwendazake naona aliendazake na akili zenu!.
 
Cag huyu na aliyepita ni waongo sana,nchi hii imekaa kiuzushi zushi sana. Hahaaaaaa! Ndo maana wanamsingizia marehemu eti alivuruga uchaguzi wa serikali za mitaa (2019) na wanaenda mbali zaidi wanadai kulikuwa na kura feki kwenye mabegi(2020) [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kanusha kwa hoja basi hayo wanomsingizia nayo
 
Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.

Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:

  • Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
  • Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
  • Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
  • Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!

Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo hazimo kwenye vitabu vya serikali!

View attachment 2202262

Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
Waliohusika na Jambo hili bado wapo hai na wengine wamepewa vyeo vipya , akiwemo aliyekuwa DPP , Hii nchi ilipofikia hata Mungu kishaikatia Tamaa .

Hata kuiombea ni sawa na kupoteza muda tu .
 
Kwa

Kwa hiyo zipo bank gani?Kama wahuni wanatuhakikishia kwamba pesa hizo zilichukuliwa.Watuambie zipo bank ipi.Sio kutuletea maneno ya uongo yasuo na ushahid.
Si ukasome ripoti ya CAG ipo public mbona mnakuza wavivu kiasi hiki!! Badala udai PAC ipeleke Hilo suala bungeni unatetea mafisadi. CAG aandike uongo anufaike nini? Wakati cheo chake hawezi tumbuliwa na bajeti yake haiandaliwi na serikali Bali na Kamati ya bunge!!

Funny
 
Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.

Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:

  • Kesi ya kubambikwa inatayarishwa
  • Polisi wanaamriwa kukuweka ndani
  • Wanasheria wa Ofisi ya DPP ambao hawana hata habari kesi inahusu nini, watajifaragua mwaka mzima au hata mpaka mitano
  • Ofisi ya DPP mwishowe inakukaribisha mtuhumiwa na mshitaki mkae chini, ili kiofisi ununue uhuru wako!!

Picha ndiyo hiyo, na CAG sasa inaelekea amethibitisha ile mihela mabilioni ya Harbinder Singh(wa IPTL) na hata yule Mohammed (wa milioni saba kwa dakika), hela hizo hazimo kwenye vitabu vya serikali!

View attachment 2202262

Hongera Awamu ya Tano kwa ufisadi wa kiwango cha PhD.
Lakini hii ni tetesi tu ya mtu wetu CAG!
Ile ripoti ya CAG bado haijawa Tabled kule Bungeni.
Kamati ya kudumu ya hesabu za serikali,bado haijaipitia na kuwaita wahusika ili kufanya verification ya taarifa.

Kuna project mnayoiendeleza kwa ushirika na Msoga ili kujiimarisha tena ili kuelekea 2025.

Tunawaona......Tunawajua.....na tunazijua mbinu zenu enyi Team Kinana & Msoga Company.

Endeleeni kumchezea huyo mateka wenu!

Lakini sio kundi la watanzania.
 
Cag huyu na aliyepita ni waongo sana,nchi hii imekaa kiuzushi zushi sana. Hahaaaaaa! Ndo maana wanamsingizia marehemu eti alivuruga uchaguzi wa serikali za mitaa (2019) na wanaenda mbali zaidi wanadai kulikuwa na kura feki kwenye mabegi(2020) 😀😀😀😀
Nani amezusha!! Mbona hata Diallo amekiri mlipora kura huko Mwanza mkapitisha madiwani wa mchongo.

Mimi napoishi hata uchaguzi hatukufanya sio wa mbunge Wala udiwani eti wamepita bila kupingwa alafu unasema wanamsingizia JPM?
 
Ile ripoti ya CAG bado haijawa Tabled kule Bungeni.
Kamati ya kudumu ya hesabu za serikali,bado haijaipitia na kuwaita wahusika ili kufanya verification ya taarifa.

Kuna project mnayoiendeleza kwa ushirika na Msoga ili kujiimarisha tena ili kuelekea 2025.

Tunawaona......Tunawajua.....na tunazijua mbinu zenu enyi Team Kinana & Msoga Company.

Endeleeni kumchezea huyo mateka wenu!

Lakini sio kundi la watanzania.
Hawa jamaa wamejipanga kwelikweli!, kwa kushirikiana na wahuni ili adhima yao itimie!, lakini watanzania sio wa enzi hizo!
 
Ile ripoti ya CAG bado haijawa Tabled kule Bungeni.
Kamati ya kudumu ya hesabu za serikali,bado haijaipitia na kuwaita wahusika ili kufanya verification ya taarifa.

Kuna project mnayoiendeleza kwa ushirika na Msoga ili kujiimarisha tena ili kuelekea 2025.

Tunawaona......Tunawajua.....na tunazijua mbinu zenu enyi Team Kinana & Msoga Company.

Endeleeni kumchezea huyo mateka wenu!

Lakini sio kundi la watanzania.
Msipotoshe hiyo ripoti kabla haijawa tabled huwa mna siku sio chini ya 21 kujibu hizo queries kama hamjibu ndio Zina appear kwa ripoti na hizo ni baada ya vikao na Accounting officers wa wizara na taasisi zilizokaguliwa kushindwa kujibu hizo hoja in time.

So kwenda bungeni ni kuijadili tu na kuomba majibu na clarification ya querry za CAG ila sio verification as if taarifa ni za uongo!!

Mkaguzi haandiki ripoti bila consultation na taasisi inayoshutumiwa. Msitake kupotosha eti CAG anatoa ripoti kwa item zisizofahamika. Huyo Dr Slaa mwenyewe alitumia ripoti za CAG kujenga hoja ya ESCROW Leo hii anadai mpaka ifike bungeni ndio ipate legitimacy? Mnafurahisha sana.
 
Back
Top Bottom