CAG kama umo humu naomba unijibu haya maswali

Halafu kuna wahuni wakiongozwa na SPIKA anayeitwa ZITTO KABWE kumchafua hayati Magufuli.

Sote, tunajua kuna kikundi maalumu kimeundwa ili kumchafua Hayati magufuli ila na hakika hawatofanikiwa hata kidogo, maana vyote alivyofanya na kuviacha vinaonekana.
 
Mkuu Mh. CPA Kichere ile ripoti kaipika kwa viungo toka Zanzibar. Yaani ukaguzi wake yeye kaangalia vitu ambavyo vinafanya vionekane ni vibaya tu. Hata ile ripoti baada ya Dkt Magufuli ilikuwa ya kupikwa maana alifumua na kuanza kupika vitu.
Pinga ripotii yake kwa vigezo
Yeye kataja objectives,scope,methodology alizotumia kufanya ukaguzi
Wewe unatumia hisia
 
Magufuli alikopa trilioni 29 kwa miaka 5 tu...Huu ni mkopo mkubwa zaidi kuchukuliwa na Rais wa Tanzania

Na huyu CAG alichaguliwa na Magufuli baada ya kumuona Assad hafai

Swali ni je kwa nini utawala wa Magufuli unagombana na kila CAG?

CAG wangapi aliogombana nao orodhesha hapa hata 3 tu
 
Magufuli alikopa trilioni 29 kwa miaka 5 tu...Huu ni mkopo mkubwa zaidi kuchukuliwa na Rais wa Tanzania

Na huyu CAG alichaguliwa na Magufuli baada ya kumuona Assad hafai

Swali ni je kwa nini utawala wa Magufuli unagombana na kila CAG?
Hao waliokopa karibia Trillion 10 ndani ya mwaka mmoja wamefanya nini zaidi kujenga vyoo? Rejea kauli ya spika mstaafu.
 
CAG akujibu nini hapo Sasa,yeye ni kukagua na kubaini dosari na kuimba ufafanuzi au maelezo kuhusiana na dosori yenyewe kabisa.🤔
 
mbona CAG haleta taarifa ya awamu ya nne au mpaka afariki ndio ataleta
 
Kwahiyo CAG aruhusu ufujaji kwa vile kuna miradi!?!?
 
CAG Nina no yake nimemrushua uI huu akujibu kaishia kunisonya tu
 
Wewe ni mpumbavu,huto tumiradi ambayo hata hatukumalizika ndio tunafanya mtu asiwe fisadi?

Kwanza humo humo kwenye miradi ndio walikuwa wanapiga.
Na ambaye haifanyi hiyo pesa zinaenda wapi? Tuambie makusanyo ya tozo taarifa zake unazo? Kama hazikutangazwa mwanzoni tu baada ya hapo kimya. Pesa inatumika wapi?
 
Pinga ripotii yake kwa vigezo
Yeye kataja objectives,scope,methodology alizotumia kufanya ukaguzi
Wewe unatumia hisia
Ktk professional ya ukaguzi naweza kuamua kucha baadhi ya evidence au process ili niandike majibu ya kile ninachotaka. Hivi hujiulizi kwa nini wakaguzi wa National Audit office (NAO) mishahara laki tatu tena wengine ACCA kabisa ila wana maisha kuzidi na wafanyakazi wa BOT au TRA? Hayo ndiyo majibu, yaani mkaguzi akija kukukagua anaweza aka ignore procedures au evidence ili akulime na mashirika mengi ya umma yanatoa rushwa kuwapoza wakaguzi, hakuna professional serikalini yenye rushwa kama wakaguzi. Na ndicho kilichofanyika kwa CAG
 
CAG hayumo humu!
 
Magufuli alikopa trilioni 29 kwa miaka 5 tu...Huu ni mkopo mkubwa zaidi kuchukuliwa na Rais wa Tanzania

Na huyu CAG alichaguliwa na Magufuli baada ya kumuona Assad hafai

Swali ni je kwa nini utawala wa Magufuli unagombana na kila CAG?
Chukua mkopo wa JK in Usd then u convert into Tzs using the current value ya 1usd = 2300.
Ukitaka ulinganisho ulio sahihi linganisha kwa usd achana na pesa zetu za madafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…