CAG kama umo humu naomba unijibu haya maswali

Haya yote yanahalslisha ufisadi? Pia kumbuka kilichojengwa ni kwa kodi zetu, yeye alikuwa msimamizi, ok na tulimlipa. Pesa iliyofisadiwa ni kodi zetu, tunapaswa kumuuliza na tuna haki ya kupewa majibu na wezi wawajibishwe.
Sawa kwa kodi zetu,saizi tunapigwa mpaka na Tozo...
Na bado sioni maendeleo
 
Huu uzi utawavua nguo janja janja na jingajinga wamchukiao mpendwa wetu JPM...
 
Dah.....mkuu.....Hakuna mradi hata mmoja wa JPM ambao unaweza kuuita white elephant.....miradi yote inaoneka kwa uhalisi wake wa thamani. Kasome Tena Nini maana ya miradi ya white elephant 😂😂😂😂
 
Ni kweli hayo yote yamefanyika lkn waliodhurumiwa haki zao ni wengi mno, mfano, watumishi kitopanda vyeo, hela ya likizo, kuunganisha familia za watumishi, OC hazitumwi, kutoajiri, nk hivyo vyote hakufanya kwa kisingizio kuwa hakuna hela. Watumishi maofisi walikuwa wananunua karatasi au wino wenyewe kwa hela yao, night allowance unapewa siku 3 wakati kazi ni ya siku 5.
 
Mkopo Tril. 42- 70 for five years, hata pierce liquid mlevi anaweza
 
Kupanda kwa vitu hata ulaya na nchi jirani vimepanda, wewe huko dunia ipi?? Ream kampala ni tsh 21,000
 
aliwezaje kujenga daraja la tanzanite ? aliwezaje kujenga daraja la busisi ? aliwezaje kuhamisha makao makuu dodoma wakati marais wote walishidwa kwa ukosefu wa pesa?
Mikopo ile tena ya riba ya nuu
 
Ofisi ya CAG huwa wanajisikiaje pindi ngonjera zao wasomazo kimya mwaka then Hakuna mamlaka yeyeto inayochukua hatua kuhusu upigaji
 
CAG wa sasa ambae alikuwa swahiba wa jiwe akiwa boss wa TRA alishushwa cheo kuwa DAS Njombe kisha baada ya Asad kupigwa chini akapewa nafasi hio na swahiba wake naona kaamua kumchafua jiwe.
 
Hello daraja lilikuwa kwenye 95% wakati jpm anafariki ,ndo hizo 5% mama kamalizia kwa shida kweli .hata njia ya 8 kutoka kimara kibaha ujenz ulikuw kwa 91 lakini huwezi amin mpaka sasa ndo hivyo mradi haumalizilki

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaongea sana ila matendo hakuna.
 
Kwani Ripoti ya CAG ni ya nini?

CAG analeta Ripoti humu, tena yenye kulenga kuendeleza uhasama? Wapi! Halitawezekana!


Eti CAG aje humu?

Taarifa zote anazozitafuta huyu mleta mada zimejaa tele humu JF.

Najiuliza anatafuta nini huyu mleta mada.

Kinachochekesha ni kuona jinsi ma-CAG walivyo wengi, tsk tsk🧐
Ripoti zipo kwenye tovuti za Serikali. Kama unapoteza bando kuja kulaghahiwa hapa ni shauri yako.

Nilikuwemo-simo.
 
Hajawahi kuimudu corona hebu tuache uzandiki
 
Hawezi kukujibu huyo, wanajitahidi kuondoa mazuri ya JPM ili ule upuuzi uendelee, hii nchi ni ya wabebaji
 
Magufuli alikopa trilioni 29 kwa miaka 5 tu...Huu ni mkopo mkubwa zaidi kuchukuliwa na Rais wa Tanzania

Na huyu CAG alichaguliwa na Magufuli baada ya kumuona Assad hafai

Swali ni je kwa nini utawala wa Magufuli unagombana na kila CAG?
Watu wanaweza kuchota pesa na wakamsingizia aliye kwenda kua alikopa, msicheze na wanadamu acheni kufikiri kudogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…