CAG kama umo humu naomba unijibu haya maswali

Unateseka ukiwa wap
 
Ila JPM kapiga kazi, hakuna raisi ata moja ataemkaribia
Watajaribu kumuangusha ila haiwezekani maana vitu vyake vinaonekana kila upande
 
Kweli Jiwe bado anaishi mioyoni mwa mazuzu mpaka leo.
 
Wanaongea mengi ila hawafanyi kitu ni kila cku kumuattack tu, wafanye sa yao tuone
 
Mikopo yenye riba kubwa za kibenki.
Kupora pesa za watu binafsi.
Kuiba pesa zote kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Kudhulumu wafanyakazi stahiki zao
Kuzuia ajira mpya kwenye serikali kwa miaka mitano.
Kupora wakulima wa korosho.

Toa ushaidi uliotukuka kutetea unachokisema
 
Hello daraja lilikuwa kwenye 95% wakati jpm anafariki ,ndo hizo 5% mama kamalizia kwa shida kweli .hata njia ya 8 kutoka kimara kibaha ujenz ulikuw kwa 91 lakini huwezi amin mpaka sasa ndo hivyo mradi haumalizilki

Sent using Jamii Forums mobile app
91 ndiyo nini? Mmekaa kusifia tu ovyoovyo, anaendelea kuoza kule Chato. Tangu afariki barabara ya njia nane haijaguswa? Kwanza ali plan kifala kabisa.
 
1) Kwa muda wa miaka mitano JPM amekopa hela nyingi kuliko hela xilizokopwa na watangulizi wake kwa ujumla. Kwa sasa hivi tunatumia trillion 11 kwa mwaka kuservice nadeni
2) Kwa muda wa miaka mitano yote alisitisha nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi kinyume na sheria.
3) Amenyang'anya mali nyingi za wafanyabiashara wakubwa kama vile maduka ya fedha za kigeni.
3) Kawanyang'anya wakulima wa korosho hela yao. Matokeo yake ameshusha kwa kiwango kikubwa uzalishaji wa korosho.
4) Watangulizi wake walifanya zaidi ya hayo tofauti ni kwamba wao hawakushinda barabarani na TBC kutangaza miradi yao.
 
waje na majibu mujwarabuuu
 
Mimi namsubiri CAG ashushe nondo hapa.
Kazi za CAG sio hizo. Yeye anapewa mkeka wa bajeti, mapato na matumizi. Anaangalia kama sheria zilifuatwa katika matumizi. Sasa mambo ya ndege na madaraja kama yalifanywa nje ya sheria, atasema kuna issue.
 
Nilikopa world bank kwa ajili ya kuejenga nchi, ila kitu kibaya nilichokifanya nikuwanyima watanzania uhuru wa habari

Nisameheni kwa hilo mimi magufuli raisi wenu, nakumbuka nilitengua uteuzi wa umy mwalimu na kumuondoa kwenye wizara ya afya sababu mimi raisi nilimwambia umy usitoe taarifa ya vifo vya Covid-19
 
GAG mwenyewe nipo hapa, ngoja nikujibu kwa kifupi sana na kitaalamu

Tunaposema magufuli alikuwa mpigajj mkbwa sana tunalinganisha fedha alizokopa na gharama za miladi aliyoanzisha hazishabihani kabisa. Kuna balance mama ya trillions 10 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…